Nasumbuliwa na UTI,nipeni njia mbadala wapendwa.

Nasumbuliwa na UTI,nipeni njia mbadala wapendwa.

Gold Standard Test ya UTI ni Culture watanzania wengi hatuna Elimu ya Kufanya Culture ya Mkojo... Na Watu wengi Wanakuwa wanasumbuliwa kwa Sababu Unakuta wana Wadudu wa UTI ambao ni Sugu Kwa Dawa (RESISTANCE TO ANT BIOTIC) ..

Fanya Kipimo cha Culture na Kama Ukikutwa Na Wadudu sugu upewe dawa ya Kuwaua Hasa Imepenem au Meropenem ndo Dawa za Mwisho kabisa Zikigoma Hizo basi Ujue Hakuna Njia Nyingine
 
Mkuu are you sure
 
Kunywa bicarbonate of soda kwa wiki moja kwa siku mara tatu. Kijiko kimoja kwenye bilauri then koroga
 
Lakini pia nakushauri kama ulitibiwa magonjwa ya zinaa kisasa ilifaa mwishoni utwange na za kienyeji umalizie.Bila hivyo bado ipo otherwise kama ulitibiwa na dr.anayejua kuisambaza yote.
 
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema
Nitafute kwa wakati wako nipate kukupa dawa upate kupona kw adawa za hospitali hutoweza kupona kabisa.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom