Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kumbe ana mifangasi basi nawapa pole hao wanaomtongozaWe si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
Wee sema kweli 😂😂😂😂🤒We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
Kwamba kipa katoka? Goli lipo wazi?😃Hapa mbona Kama Aishi Manula kaenda kufuata maaelekezo kwenye benchi?
We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
HahaaaaaWe si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
HAHAHAHAHAHAHapa mbona Kama Aishi Manula kaenda kufuata maaelekezo kwenye benchi?
Kuna daliliKwamba kipa katoka? Goli lipo wazi?😃
Mashoga na wasagàji wengi kichaka chao cha kujificha ni kwenye gym za mazoezi.Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.
Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.
Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .
Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.
Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!
Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
Sio kwa comment hii. We bro una Roho Mbaya sana. Umemsagia kunguni ile mbaya jamaa hadi Nifah kamshtukia.We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
Thread 'Tunaosumbuliwa na vibarango Tukutane hapa' Tunaosumbuliwa na vibarango Tukutane hapaWe si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?