Nasumbuliwa sana Facebook? Tatizo ni nini wanaume wa Dar?

Nasumbuliwa sana Facebook? Tatizo ni nini wanaume wa Dar?

Hapana, dawa ni kuelewa kuwa huko gym hayo hutayaepuka na hautaepukwa kuzongwa watu waki[pima na wewe ni shoga au msagaji? Wakikuona huna saaini zao wanelewa.

Mashoga na wasagaji wanajuwana ndani ya dakika chache sana. Kama walevi au wavuta bangi.

Aisee ni kweli kabisa akiona mnapishana maongezi anapotea
 
IMG_3918.jpg
 
Waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba. Katika hali ya kawaida mashoga hawathubutu kufuata mtu asiejihusisha na ushoga.

Utakuwa na vijinasaba vya kishoga wewe mwenyewe ndio maana wanavutiwa na wewe. Labda picha zako zimekaa kishoga shoga pia
 
Hapana, dawa ni kuelewa kuwa huko gym hayo hutayaepuka na hautaepukwa kuzongwa watu wakipima na wewe ni shoga au msagaji? Wakikuona huna saaini zao wanaelewa.

Mashoga na wasagaji wanajuwana ndani ya dakika chache sana. Kama walevi au wavuta bangi.
Kumbee?
 
Back
Top Bottom