Nasumbuliwa sana Facebook? Tatizo ni nini wanaume wa Dar?

Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.

Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.

Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .

Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.
Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!

Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
Ondoa hiyo picha feki uliyoweka Facebook, weka picha yako halisi huku flat screen ikiwa inaonekana uone Kama Kuna atakaye kusumbua.
 
Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.

Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.

Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .

Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.

Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!

Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
Weka picha
 
Back
Top Bottom