Aisee wahuni sio watu wazuriWe si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
NOTED "FESIBUKU"Unawavutia unaofanana nao! Nimejiunga fesibuku 2015 lkn sijawahi kutana na sms za hvo wala za wahindi
KwambaNOTED "FESIBUKU"
Umemkimbiza jamaa.We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
Shida itakuwa mwonekano wako.Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.
Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.
Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .
Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.
Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!
Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
We ni muhuni sana😃😃, kwa hiyo jamaa anakiwasha kwa mbele sio?Hahahaaa dah!!
Labda anakiwasha akiwa kwa mbele 🤣🤣🤣
We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...
View attachment 2879538
Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
Kumbe ana mifangasi basi nawapa pole hao wanaomtongoza
Unawavutia unaofanana nao! Nimejiunga fesibuku 2015 lkn sijawahi kutana na sms za hvo wala za wahindi
Unatumia username ipi? Ili tujue shida niwewe au hao
Hujui kama wafanya mazoezi wengi wenu hamna marinda watu wanataka watatuueeee.
Hapa mbona Kama Aishi Manula kaenda kufuata maaelekezo kwenye benchi?
Hebu lete ushahidi hapa screenshot hzo msg nyau wewe
Sheikh Wala hatuna baya😃daah sasa mkuu nimekosea nn[emoji3][emoji3]mbona unaniadhiri
Mashoga na wasagàji wengi kichaka chao cha kujificha ni kwenye gym za mazoezi.
Sifahamu kwanini lakini ni hivyo nchi nyingi sana.