Sukutua mkojo wa asubuhi
Pole ndugu ushapata tiba?jaribu kutafuta ndulele katakata then chemsha sukutulia maji yake.Mi pia meno yananisumbua sana.
Wakuu kaomba dawa ya JICHO na si JINO!
Pakaa Asali kama wanavyopakaa wanawake wanja utapona.Wanajamvi,
Naomben msaada kama kuna mtu anasafiri kutoka Mwanza kuja Morogoro au Dar, nimuelekeze anichukulie dawa njian pale Lunele kabla haujafika Hungumalwa.
Nasumbuliwa na jicho linaniuma pia sioni vizuri sasa linanitesa nashindwa kusoma nipo chuo hapa Morogoro mwenye kunisaidia ani Pm anipe na namba ya simu tuwasiliane.
Wakuu kaomba dawa ya JICHO na si JINO!
Dawa ya jino ni kuling'oa tu. ..huo ushauri mwingine ni sawa na wa Dr mwaka tu