Nasumbuliwa sana na jino

Nasumbuliwa sana na jino

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Wanajamvi

Naomben msaada kama kuna mtu anasafiri kutoka Mwanza kuja Morogoro au Dar, nimuelekeze anichukulie dawa njian pale Lunele kabla haujafika Hungumalwa.

Nasumbuliwa na jicho linaniuma pia sioni vizuri sasa linanitesa nashindwa kusoma nipo chuo hapa Morogoro mwenye kunisaidia ani Pm anipe na namba ya simu tuwasiliane.
 
Pole ndugu ushapata tiba? jaribu kutafuta ndulele katakata then chemsha sukutulia maji yake.Mi pia meno yananisumbua sana.
 
Wanajamvi,

Naomben msaada kama kuna mtu anasafiri kutoka Mwanza kuja Morogoro au Dar, nimuelekeze anichukulie dawa njian pale Lunele kabla haujafika Hungumalwa.

Nasumbuliwa na jicho linaniuma pia sioni vizuri sasa linanitesa nashindwa kusoma nipo chuo hapa Morogoro mwenye kunisaidia ani Pm anipe na namba ya simu tuwasiliane.
Pakaa Asali kama wanavyopakaa wanawake wanja utapona.
 
Dawa ya jino ni kuling'oa tu. ..huo ushauri mwingine ni sawa na wa Dr mwaka tu
 
Back
Top Bottom