Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.
Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.
Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!