Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
Wajinga nyie wapenzi wa FUTUHI
 
Mnajisumbua kumpigia debe huyo Muuaji Bashite. Makonda yupo Arusha kama mlango wa kutokea.

Team ya Nchimbi ipo sana hadi 2027. Usanii wa kupanda punda na mkokoteni uliisha na huyo Zerobrain. Wewe utaendelea tu kupata maumivu kama ni mpambe wa Nyamitako.
Bashite basi tena
 
Si wabunifu wanabebwa na system, wote kipenyo sijui walikuwaje wakawa recruited.
 
Back
Top Bottom