Natabiri huu utakua msimu mbaya sana kwa timu yangu Yanga SC

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
16,074
Reaction score
27,490
Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.

Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.

Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.

Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.

BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
 
Walishaomba radhi,,,naamini Hersi alijisahau akadhani CCM ndio kila kitu Katika nchi hii.
 
Achana na mambo ya utabiri andaeni timu, Ngao ya Jamii haipo mbali.
Muda si mrefu mtaanza kumtukana Mangungu.
Kwakua safarihii bodi ya Ligi ni mpya, hatutegemei Simba kuwa mshindani wa Yanga.
Hatutegemei kumuona Refa yoyote katika wale marefa walio alibu Ligi yetu msimu uliopita.
 
wakaendelee kwenye masiasa yao ya kichawa
 
Achana na mambo ya utabiri andaeni timu, Ngao ya Jamii haipo mbali.
Muda si mrefu mtaanza kumtukana Mangungu.
Kwakua safarihii bodi ya Ligi ni mpya, hatutegemei Simba kuwa mshindani wa Yanga.
Hatutegemei kumuona Refa yoyote katika wale marefa walio alibu Ligi yetu msimu uliopita.
Mimi Mwananchi mkuu. Eng katuingiza shimo bovu
 
Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.

Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.

Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.

Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.

BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
Timu yako ya Yanga? 😀😀😀 Unsmiliki Hisa ngapi pale? Iliwahi kusajili mchezaji hata Mmoja? Unajua kwa siku wachezaji wanatumia kiasi gani? Timu ya GSM unasema Timu yako?
 
Mimi siitabirii mabaya hata kidogo. Ila nikiri wazi sijafurahishwa na kuachwa kwa mchezaji tegemeo Halidi Aucho. Nadhani aliyetoa ushauri wa kumuacha Aucho, ana roho ya ubinafsi sana, lakini pia hana mapenzi mema na Yanga. Maana Aucho bado alikuwa anahitajika kwenye kikosi cha Yanga kwenye msimu huu mpya. Kumtafuta mbadala wake halikuwa kosa, ila bado uwepo wake ulikuwa ni muhimu sana.

Mwanzoni nilifikiri labda amepata timu ya nje yenye maslahi mazuri zaidi. Sasa hii ya kuambiwa eti amesajiliwa Singida Black stars!! Na ni upuuzi wa hali ya juu sana.
 
Sasa Yanga kuchangia ccm inahusika vipi na matokeo ya timu?
Kwahy wasingechangia timu ungekuja kusema watafanya vizuri msimu huu?
 
Mkifanya vibaya sababu ni either kocha hana mbinu au usajili mbovu na sio fomu za ccm.
 
Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.

Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.

Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.

Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.

BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
Darasa la saba B??
 
Kwaiyo ccm ndio itakuwa inacheza uwanjani? Tueleze kutoa milioni 100 Kuna uhusiano Gani na usajili Bora na kuwa na kikosi Bora? Nayasubilia majibu yako hapa
Hapo kuna siasa na mpira

Kimpira: unaweza kufanya usajili bora na bado usipate matokeo mazuri katokana na facts nyingine nje ya mchezo wa mpira labda pengine mazingira ya nje ya uwanja, wachezaji hawalipwi kwa wakati na facts nyingine kibao. Kwahiyo kufanya tu usajili bora sio jibu sahihi la kufanya vizuri uwanjani.

Kisiasa: hapa lazima uelewe kwanza mpira na siasa haviingiliani hata sheria za FIFA zinakataza hilo. Sasa kiongozi wetu kutuhusisha na mambo ya siasa hatujui nini kitakuja kutokea ukizingatia tayari barua zimeandikwa nyingi kwa kitendo hicho. Hiyo inaweza pelekea mvurugano ndani na nje ya timu, kibiashara timu ikashindwa kufanya vizuri ukizingatia siasa ni itikadi.

Huu mjadala ni mrefu niulize swali kama unahisi hujaelewa.
 
Timu yako ya Yanga? 😀😀😀 Unsmiliki Hisa ngapi pale? Iliwahi kusajili mchezaji hata Mmoja? Unajua kwa siku wachezaji wanatumia kiasi gani? Timu ya GSM unasema Timu yako?
Little kid just shut up. Unaongea utoto hapa kwa watu wazima. Haya mambo pelekeaneni huko kwa watoto wenzenu mkaulizane maswali ya kitoto kama hayo
 
Hapo kuna siasa na mpira

Kimpira: unaweza kufanya usajili bora na bado usipate matokeo mazuri katokana na facts nyingine nje ya mchezo wa mpira labda pengine mazingira ya nje ya uwanja, wachezaji hawalipwi kwa wakati na facts nyingine kibao. Kwahiyo kufanya tu usajili bora sio jibu sahihi la kufanya vizuri uwanjani.

Kisiasa: hapa lazima uelewe kwanza mpira na siasa haviingiliani hata sheria za FIFA zinakataza hilo. Sasa kiongozi wetu kutuhusisha na mambo ya siasa hatujui nini kitakuja kutokea ukizingatia tayari barua zimeandikwa nyingi kwa kitendo hicho. Hiyo inaweza pelekea mvurugano ndani na nje ya timu, kibiashara timu ikashindwa kufanya vizuri ukizingatia siasa ni itikadi.

Huu mjadala ni mrefu niulize swali kama unahisi hujaelewa.
Kwaiyo ni lini yanga ikaacha kuwalipa wachezaji kwa wakati?
Hizo mambo za siasa ni ajenda inayobebwa na baadhi ya wasiojielewa kwani goli la mama linatolewa na nani? Si Rais? Kwanini aizungumzwi kama ni siasa? Na ndege uwa inatolewa na Rais anayetokana na chama Gani? Kwanini isisemwe kama ni siasa? Mambo mengine ya kipuuzi kama Aya ayana nafasi ndani ya yanga na Eng.aendelee kuchapa kazi tuko nyuma yake daima
 
Back
Top Bottom