Natabiri huu utakua msimu mbaya sana kwa timu yangu Yanga SC

Natabiri huu utakua msimu mbaya sana kwa timu yangu Yanga SC

Kwaiyo ni lini yanga ikaacha kuwalipa wachezaji kwa wakati?
Hizo mambo za siasa ni ajenda inayobebwa na baadhi ya wasiojielewa kwani goli la mama linatolewa na nani? Si Rais? Kwanini aizungumzwi kama ni siasa? Na ndege uwa inatolewa na Rais anayetokana na chama Gani? Kwanini isisemwe kama ni siasa? Mambo mengine ya kipuuzi kama Aya ayana nafasi ndani ya yanga na Eng.aendelee kuchapa kazi tuko nyuma yake daima
Mkuu samahani kukwambia hivi ila inawezekana huelewi nilichoandika. Hakuna sehemu nimesema Yanga hailipi mishahara hapo nilitolea mfano kulingana na comment ya niliyemjibu kwamba hizo zinaweza kuwa factors zinazopelekea ule unaoitwa usajili mzuri kuwa mbovu hivyo swala la mishahara ni moja tu yapo mengi.

Pili, kutoa ndege, au kiasi fulani cha pesa kwenda kwa vipabu hiyo ni dhima ya serikali kama hamasa tena kupitia Wizara ya Michezo sio chama cha siasa kwa FIFA sio tatizo. Kilichotokea ni klabu kujihusisha kwenye shughuli za chama cha siasa tena kwenye mambo ya kampeni na hilo ndio tatizo.

Niko hapa kukuelewesha kama bado unaona giza.
 
Back
Top Bottom