Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Walishaomba radhi,,,naamini Hersi alijisahau akadhani CCM ndio kila kitu Katika nchi hii.Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.
Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.
Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.
Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.
BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
wakaendelee kwenye masiasa yao ya kichawaKwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.
Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.
Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.
Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.
BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
Waliomba radhi kwa platform gani? Naomba jisaidie hapoWalishaomba radhi,,,naamini Hersi alijisahau akadhani CCM ndio kila kitu Katika nchi hii.
Mimi Mwananchi mkuu. Eng katuingiza shimo bovuAchana na mambo ya utabiri andaeni timu, Ngao ya Jamii haipo mbali.
Muda si mrefu mtaanza kumtukana Mangungu.
Kwakua safarihii bodi ya Ligi ni mpya, hatutegemei Simba kuwa mshindani wa Yanga.
Hatutegemei kumuona Refa yoyote katika wale marefa walio alibu Ligi yetu msimu uliopita.
Mimi sitakua mnafiki mechi nitaangalia ila kiukweli moyo wangu una majonzi sana. Tunaweza kwenda kuadhibiwa pakubwa tukabaki kulaumiana hapaTumeishawasamehe, sasa hivi tunaiunga mkono timu.
Kwaiyo ccm ndio itakuwa inacheza uwanjani? Tueleze kutoa milioni 100 Kuna uhusiano Gani na usajili Bora na kuwa na kikosi Bora? Nayasubilia majibu yako hapaMimi Mwananchi mkuu. Eng katuingiza shimo bovu
Timu yako ya Yanga? 😀😀😀 Unsmiliki Hisa ngapi pale? Iliwahi kusajili mchezaji hata Mmoja? Unajua kwa siku wachezaji wanatumia kiasi gani? Timu ya GSM unasema Timu yako?Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.
Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.
Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.
Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.
BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
Darasa la saba B??Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia.
Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye shughuli zake za siasa kuihusisha Yanga tayari ametia doa kile ambacho Yanga imekipata katika misimu minne iliyopita ya maziwa, tende na asali.
Kibaya zaidi hawaombi radhi japokua zimeshatumwa barua nyingi kwenda FIFA kutaka uchunguzi na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya klabu yangu pendwa Africa. Hatujui nini kitafuata baada ya hili ila kabla ya mdimu kuanza yanatokea haya sio ishara nzuri kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano.
Viongozi wangu tokeni muombe radhi, kisha mfute hiyo poster kwenye page ya klabu. Mengine mtuachie sisi mashabiki japo mmetuumiza ila tunaipenda hii klabu hatuwezi kuiacha. Kwahiki kinachoendelea sio mambo mazuri mbeleni.
BAD OMEN Wananchi🟢🟡🟢🟡
Hapo kuna siasa na mpiraKwaiyo ccm ndio itakuwa inacheza uwanjani? Tueleze kutoa milioni 100 Kuna uhusiano Gani na usajili Bora na kuwa na kikosi Bora? Nayasubilia majibu yako hapa
Little kid just shut up. Unaongea utoto hapa kwa watu wazima. Haya mambo pelekeaneni huko kwa watoto wenzenu mkaulizane maswali ya kitoto kama hayoTimu yako ya Yanga? 😀😀😀 Unsmiliki Hisa ngapi pale? Iliwahi kusajili mchezaji hata Mmoja? Unajua kwa siku wachezaji wanatumia kiasi gani? Timu ya GSM unasema Timu yako?
???Darasa la saba B??
Kwaiyo ni lini yanga ikaacha kuwalipa wachezaji kwa wakati?Hapo kuna siasa na mpira
Kimpira: unaweza kufanya usajili bora na bado usipate matokeo mazuri katokana na facts nyingine nje ya mchezo wa mpira labda pengine mazingira ya nje ya uwanja, wachezaji hawalipwi kwa wakati na facts nyingine kibao. Kwahiyo kufanya tu usajili bora sio jibu sahihi la kufanya vizuri uwanjani.
Kisiasa: hapa lazima uelewe kwanza mpira na siasa haviingiliani hata sheria za FIFA zinakataza hilo. Sasa kiongozi wetu kutuhusisha na mambo ya siasa hatujui nini kitakuja kutokea ukizingatia tayari barua zimeandikwa nyingi kwa kitendo hicho. Hiyo inaweza pelekea mvurugano ndani na nje ya timu, kibiashara timu ikashindwa kufanya vizuri ukizingatia siasa ni itikadi.
Huu mjadala ni mrefu niulize swali kama unahisi hujaelewa.