Kwaiyo ni lini yanga ikaacha kuwalipa wachezaji kwa wakati?
Hizo mambo za siasa ni ajenda inayobebwa na baadhi ya wasiojielewa kwani goli la mama linatolewa na nani? Si Rais? Kwanini aizungumzwi kama ni siasa? Na ndege uwa inatolewa na Rais anayetokana na chama Gani? Kwanini isisemwe kama ni siasa? Mambo mengine ya kipuuzi kama Aya ayana nafasi ndani ya yanga na Eng.aendelee kuchapa kazi tuko nyuma yake daima