Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Kwamba kauawa? Kumbe ulinzi wote ule mkubwa wa helicopter na majeshi yenye silaha za Kila aina hawakuweza okoa uhai wake?? Si mlisema ni mcha Mungu na kwamba ni Rais pekee aliyemtegemea Mungu kipindi cha Covid 19. Kama angekua mcha Mungu wa kweli angeuawa kizembe??

Mlimkejeli Lowassa kuwa atafia Ikulu lakini imekua opposite, liwe funzo kwenu wote kwamba maisha anayapanga Mungu sio binadamu.
 
Unajua hili suala la Lowassa kuwa hai ni ushuhuda Mkubwa sana kwa Mwenyezi Mungu.

Yaani Samwel Sitta hayupo, J.P Magufuli hayupo tena ila Lowassa yupo

Mungu ni wa ajabu kwakweli, mipango yake sio kama ya wanadamu
 
Labda ana uwezo wa ziada wa kutabiri mambo
 
Duh... Angewanyonga mafisadi kwanza, tatizo la nchi hii ni mafisadi ndo wameleta huu umaskini
 
Mmejiegememeza na kutumia jina la Mungu, kumbe mnamambo yenu ya Siri?

Tuone iwapo mtaishi milele
Mkuu It was just a lucky guess. Was High on drugs Marujana. When I take this stuff dude I can predict anything. And if you cross my path violence men.
 
Umetushauri vizuri sana sisi tunaomsema magufuli,tunakuahidi kuongeza juhudi na weledi kuhakikisha nunamsema zaid ya jana na kiubobezi maana kujikita hoja chakavu tunapunguza maumivu ya wanaompenda,aluta continua mpaka afufuke mbwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…