Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Mimi pia nilikuwa naiona Tanzania ni Nchi ya kawaida kama Nchi zingine,

Bt nilipokuja kufahamu kuwa Nchi hii ndo mhimili wa Dunia nzima ktk Ulimwengu wa ROHO niliogopa, kumbe Israeli haiifikii Tanzania, I was shocked.

The time has come, and that time is now, Tutaiona the real Tanzania.

Tanzania ni kama sufuria lililowekwa juu ya mafiga MATATU, unaweza ondoa mafiga yote na Bado sufuria likaendelea kubaki mahala pake sababu yupo aliyeishikilia.

Amen, Amen, Amen.
 
Mleta mada uliwahi 'kutabiri' chochote ktk ukoo au ndugu zako ?
Je uliotabiri walikufa kweli au magumashi?
ndio maana bange zinakatazwa kwa nguvu zote wandugu!
 
Mnafiki hajifichi, bora ulivyompa ukweli wake, ni ndumilakuwili mbobezi,




Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wenye wasiwasi na kinachoendelea ni wale waliozoea kuishi kwa jasho la wengine, wale waliozoea kuvuja mali za umma, wale waliozoea kushinda chaguzi bila kupingwa, wale waliozoea kuumiza wengine wasijulikane na wale waliozoea kukiuka sheria za nchi na kujiona wako juu ya sheria.
 
Nakuunga mkono hoja!! Na sukuma gang ndicho walichozoea ndo maana wanatapatapa walishajua kwa uongozi wa yule jamaa wao watabebwa kwa mbeleko kila mahali,,
 
Nakuunga mkono hoja!! Na sukuma gang ndicho walichozoea ndo maana wanatapatapa walishajua kwa uongozi wa yule jamaa wao watabebwa kwa mbeleko kila mahali,,
Sukuma gang ni nani mkuu?, au unaropoka tu kwa sababu una kifurushi kwenye simu yako?
 
Nakuunga mkono hoja!! Na sukuma gang ndicho walichozoea ndo maana wanatapatapa walishajua kwa uongozi wa yule jamaa wao watabebwa kwa mbeleko kila mahali,,
Sukuma gang ni nani mkuu?, au unaropoka tu kwa sababu una kifurushi kwenye simu yako?
 
Kwa vile mama anaongoza serikali kwa kuwashirikisha wadau wa siasa na wzee wa Taifa hili ndo maana unaona Kimya kimetanda .Hakuna sauti hata za wapinzani zimesita.
Huyu Mama ni Nguli wa SIASA wa kupigiwa mfano duniani.
Wewe Omba mama awe na Afya na Umri Mrefu.
Napendekeza Mama 2025 iwe ndio kipindi chake cha kwanza ,kwa vile hii minne kamshikia Magu uraisi wake kwa mujibu wa katiba yeye si Raisi wa kuchaguliwa.
Anaendesha mambo vyema kwa UADILIFU wa HAL YA JUU.
Mungu Ambariki sana katika Uongozi wake.
 
Ni kweli lakini awe muangalifu sana na zile sifia sifia za Machawa na walamba Asali ambao wamemzunguka kila kona !! Ajitahidi kupata system yake private itakayokuwa inamdokeza hali halisi ilivyo. !! Mwalimu alikuwa mjanja sana alikuwa anawaalika watu wa kawaida kabisa huko Ikulu kucheza nao Bao lakini humo humo alikuwa anapata kujua mambo mengi zaidi yanayoendelea katika jamii !!
 
Hon the learned Adv you have sincerely spoken your heart and that is what preempts the fictitious character profiling. I fully concur with your observation. All people who had been loyal to JPM and have been excluded from the current government are considered members of the fictitious group which in reality doesn't exist anywhere rather than an ideological stance.
 

Alipata kura 1 lakini, unalijua hilo?
 
Mawazo yako au maombi yako ni mazuri sana kwa mustakabali wa utangamano wa taifa letu.

Lkn wafuasi wa mwendazake kamwe hawalitaki kabisa kulisikia hilo jambo utangamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…