Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Twambie basi usiishie kwenye ndoto zako pekee yako
 
Acha utoto kijana nini kinazuia kuandika katiba mpaka yatukute?
 
Kuna watu ndio leo wamejua spika amejiuzulu huku mtaani no body cares, mitandaoni ndio hofu. Watanzania hawana muda na gutter politics
KWA hiyo gutter politics si ndo zmepelekea inflation na mstozo Lila mahali
Au wanadhani ugumu wa maisha ni haki yao
 
Kuna watu ndio leo wamejua spika amejiuzulu huku mtaani no body cares, mitandaoni ndio hofu. Watanzania hawana muda na gutter politics
Watanzania wa Leo mzee sio wa Redio Tanzania Dar er Salaam (RTD ) watanzania wa Leo ni Yahoo dot cm
 
Mkuu, amka usingizini, unaweza kujikuta unakojoa kitandani
 
Yule mama hawezi kukemea Magufuli Alikuwa na sauti yenye mamlaka sio kubembelezana ooh acheni sio vizuri Rais lazma panapohitajika TOA sauti yenye mamlaka kwamba Hili silitaki, ndo maana jamaa alisema subirini watakao kuja kuwabembeleza sio mim, kweli duu mama anatupetipet kweli, shingoni,tumboni,kiunon daa mama anaupiga Msemo wa wapambe wake.
 
Lakini nchi iko vizuri na wengine sasa tunajiona watanzania maana yule bwana alikua mbaguzi wa hali ya juu sana. Aliona wengine siyo watanzania alizidisha ukabilaaaa
 
wala havihusiani acheni kudanganya watu bana. Mnaandika uzushi hapa.Ndugai nani? mbona alikimbia Ikulu kulialia
 
Hakuna chochote kile,hiki kipaji ulichonacho ungekitumua kutabiri maisha yako na ukoo wako

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Amen na namuomba Mungu awaumbue kwa aibu wale wote waliohusika na kifo Cha Magufuli wapigwe na majanga hapa hapa duniani.
 
Bwana Job/Ayubu si ukubali tuu kua hakuna marefu yasiyo na ncha? kwani kongwa hakuna mashamba ya kulima au? Hebu acha kudhani una sifa za kua kiongozi milele jinga wewe
 
Ilikuwa Jan leo March... Wengi watapigwa butwaaaaa.... Yaani mmmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…