Ukiwa na timu, ukapata nafasi uchague mmoja kati ya hawa - je utachagua nani?Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.
3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric
Bollon Dor for Modric
umeona eee; sasa eti Modric mchezaji wa dunia..... haya kama ni kwenye makaratasi sawa.Mess.!
Habari yako mkuuNatabiri: HAIWEZEKANI MILELE.
Nakusalim mkuuNatabiri ::::: IZO NI NDOTO ZA NJAA
Aisee una la kusema?Natabiri: HAIWEZEKANI MILELE.
Labda ulila ukaota nduguNakusalim mkuu
Nililala nikaota nini?Labda ulila ukaota ndugu