Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.

3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric


Bollon Dor for Modric
Ukiwa na timu, ukapata nafasi uchague mmoja kati ya hawa - je utachagua nani?
 
Huu ni Usiku wa Modric
 
umeona eee; sasa eti Modric mchezaji wa dunia..... haya kama ni kwenye makaratasi sawa.

Kwa sasa hakuna kama Messi; Ronaldo mwenyewe anasubiri.
Mkuu bila shaka umesikia kilichotokea usiku huu.
 
Back
Top Bottom