HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
Saint Luca
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekwambia anakufaweka wasifu wake
Usipanic.Ata ukiomba kazi ni lazima upeleke wasifu wako.Amekwambia anakufa
Modric For Ballon Dor
Hasa makampuni ya biashara yana fitina sana....
Uko sahihi mkuu....na leo lazima achukue tuzo.....Modric anastahiliWatu washameza mchezaji bora wa FIFA lazima awe na magoli, mengi hawajui kuwa anacheza na wenzake ambao wanamfanya yy kuwa bora. Huyu Luka Modric anastahili kakidhi vigezo vyote, kuanzia yy mwenyewe binafsi (mchezaji bora wa mashindano ya FIFA World Cup), ngazi ya taifa (kaifikisha timu yake fainali ) na club yake ameiwezesha timu yake kuchukua UEFA.
Hawezi kuchukua hiyo ni ya Cr7 mnyamaHakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.
3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric
Bollon Dor for Modric
Nani kakudanganyaMaudhui kwa sasa yalikuwa ni kombe la dunia. Hata kama hakutaja "kombe la" sisi wengine tulimwelewa hivyo. Huo sasa ndio mwanzo wa kupokea hizo tuzo za mchezaji bora wa dunia.
Hataimae Modric anaenda kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.
3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric
Bollon Dor for Modric