njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Topolo, makasiriko ya nini Mr uto?Kweli kolo atabaki kuwa kolo.. humo kichwani Kuna Mashudu tu yakulishia nguruwe
sitakaa niichukie simba ila nachukia tabia ya uongozi kwenye baadhi ya masuala kama kupuuza issue ya namba 6 na namba 9 iliyojulikna wazi tangu mwaka jana wanajua wakitudanganya kama watoto tutakaa kimya tuHii ndo spirit ya shabiki wa Simba unainanga timu ila bado unaiombea mazuri safi sana mkuu
hapana chama ana goals 2, dejan moja, okrah 1 ,sakho, na okwa mojamojaHalafu katika hizo goli 6, Mzungu na Boko lazima wapige hatrick
Mech inaanza saa ngap mkuu?Vyura sasa wanatyp kwa hasira naona tuu typing..... hahaha jamani acheni makasiriko
ishachezwa tayari kwa wenye macho ya kiroho lakini kwa nyie wengine ni saa 12.15 jioniMech inaanza saa ngap mkuu?
Saa 18: 15 mkuuMech inaanza saa ngap mkuu?
Itakuwa saa 18:15 tuwaombee wawapige bao 6 kama walivyowapiga mapema leoKwani mechi ya marudio ni saa ngapi?.maana naona hapa JF imeshachezwa tayari
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7
Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango hicho
Kwa matokeo hayo simba iko kileleni mwa ligi kwa points 3 na magoli sita ya kufunga huku ikiwa haijafungwa