Natabiri matokeo ya Simba vs Geita gold yatauwa (6-0)

Natabiri matokeo ya Simba vs Geita gold yatauwa (6-0)

Wakati tunasherehekea huu ushindi kule Bugatti keshazindua "nickname" ya CEO wetu dada yetu mpendwa!

Huyu mzungu pori tumfanyeje wana msimbazi?

Simba nguvu moja
 
Wakati tunasherehekea huu ushindi kule Bugatti keshazindua "nickname" ya CEO wetu dada yetu mpendwa!

Huyu mzungu pori tumfanyenye wana msimbazi?

Simba nguvu moja
Huyo Manara anahahaaa unajua dharauliwa na wotee lakini mwanaume kudharauliwa na mwanamke inaumaaa tena sio dharau tuu yani anaonewa kinyaaa lazima udate kwa kila hali
 
Sijui ntaachaje sasa ila majukumu yangu natekelezaa
Kwenye majukumu aaah uko poa sana mpenzi wangu. Wee endelea na ushabiki wa mpira una baraka zangu, sio kwa kukupenda huku😘😘😘😘🤣🤣🤣
 
Kwenye majukumu aaah uko poa sana mpenzi wangu. Wee endelea na ushabiki wa mpira una baraka zangu, sio kwa kukupenda huku😘😘😘😘🤣🤣🤣
Nashukuru kwa kunibariki ndo maana nakupenda hahaaaaa
 
Ligi ya msimu huu hakuna timu itafungwa goli 5+ hao waliopanda daraja tu ni hatari sa nani afungwe migoli yote hiyo?
 
Kwenye kichwa cha habari unatabiri, kwenye utumbo wa habari una narrate as if kimeshatokea, kweli kolo ni kolo milele.

Na hii ndio shida yenu, huwa mnaamua kujipa matokeo mioyoni mwenu na mnaingia nayo uwanjani na isipokuwa hivyo mnapata ugonjwa wa moyo mnapaniki.
 
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7

Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango hicho

Kwa matokeo hayo simba iko kileleni mwa ligi kwa points 3 na magoli sita ya kufunga huku ikiwa haijafungwa
Wait for Stephen Chelu.
 
JF wangeanza utaratibu wa kupima watu akili kabla ya kuwaruhusu kuwa member
 
Back
Top Bottom