Natabiri Mbowe na Lissu mwaka huu hauishi watagombana

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,299
Reaction score
3,977
images.jpeg-4.jpg

Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts).

Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo.

Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara ya kwanza Lissu kupinga mariadhiano, hizi kauli Mwenyekiti anazicheki kimoyoni, atakuwa anamlia timing tu.

Sasa ukirudi kitaalam na tabia za watu hawa ni hivi;

Lissu mimi ni mtu nimekutana nae mara nyingi na kufanya nae maongezi, ni mtu anaejiamini halafu mjuaji sana, ila anajua historia na sheria tu mambo mengine anaforce tu.

Mbowe sijawahi kutana nae wala kuongea nae, ila ni mtu very calculative na mtu ambae hataki utani ovyo linapokuja swala la uongozi ndani ya CHADEMA, kaijenga CHADEMA.

Sasa why watu hawa watakuja kukugombana; Mbowe ni mtu wa planning sana mambo yake, wakati Lissu ni mjuaji, hasikilizagi la mtu akimua lake. Narudia, Lissu nimeongea nae mara nyingi sana namjua, halafu short temper.

Hapa ndio utabiri wangu unasema mwaka huu hauishi Lissu na Mbowe kitanuka mbaya. Lissu anaona ana mashabiki wengi, Mbowe yeye Mwenyekiti.

Tawire tawire, hii ni ramli chonganishi ya kisiasa.

Ramli wadau mmeionaje au nimezengua?
 
Lissu Hana njaa kama hao kenge wengine Wa maridhiano, Kwa kusimamia anachokiamini Lissu almanusura apoteze uhai wake , ni vigumu yeye msimamo wake kuuuza kifala kama hao akina mbowe na magenge yake ya kihuni .... Hata hvyo wote siwakubali
 
Tawire tawire wana zengo... nataka nitoe ramli chonganishi(natania ila nina facts)

pale ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka kama hamjua hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo

kauli za lissu lazima zitakuwa zinamkera sana mwenyekiti hadi juzi mrema katoka kuzipinga

sio mara ya kwanza lissu kupinga mariadhiano hizi kauli mwenyekiti anazicheki kimoyoni atakuwa ana mlia timing tu

sasa ukirudi kitaalam na tabia za watu hawa ni hivi

lissu mimi ni mtu nimekutana nae mara nyingi na kufanya nae maongezi ni mtu anae jiamini afu mjuaji sana ila anajua historia na sheria tu ..mambo mengine anaforce tu

mbowe sijawahi kutana nae wala kuongea nae ila ni mtu very calculative na mtu ambae hataki utani ovyo linapokuja swala la uongozi ndani ya chadema kaijenga chadema

sasa why watu hawa watakuja kukugombana mbowe ni mtu wa planning sana mambo yake .....wakati lissu ni mjuaji asikilizagi la mtu akimua lake narudi lissu nimeongea nae mara nyingi sana namjua afu short temper

hapa ndo utabiri wangu unasema mwaka huu hauishi lissu na mbowe kitanuka mbaya.....

lissu anaona ana mashabiki wengi .... mbowe yeye mwenyekiti ...

Tawire tawire hii ni ramli chonganishi ya kisiasa
Hata mimi naona hivyo. Hivi karibuni ataanza kuloa matusi kama ya slaa
 
”Natabili” ikiwa hujui tofauti ya L & R nani atahangaika na wewe.

Kajifunze kwanza kuandika.

mbona wewe hujagombana na baba yako?
 
Huyu Mbowe kwa maslahi mapana ya taifa angepumzishwa tu. Maana ameanza kuketa siasa za Lipumba. Ameshakata tamaa sasa anataka apate mgao wa hela za wizi wanazokwapua hawa vilaza wa kijani.

Ifike wakati raia muweke pembeni hisia za kisiasa, hisia za mazoea tumchague mtu m'moja ambaye atatuonyesha uwajibikaji. Mbowe atoke hapo kwenye siti ya mwenyekiti.
 
Sioni tatizo Mimi, wote ni wanadamu. Mbona nyie mmefurahia kifo cha Magufuli na wakati huo huo mkafurahi kifo cha Membe?! Tumetulia Wala hatujasema kitu kwakua huo ni ugomvi wa ndugu
 
Yani unajisifia eti unamjua mwanaume mwenzako hizo ni dalili za uchoko mbwa wewe
 
Lissu Hana njaa kama hao kenge wengine Wa maridhiano, Kwa kusimamia anachokiamini Lissu almanusura apoteze uhai wake , ni vigumu yeye msimamo wake kuuuza kifala kama hao akina mbowe na magenge yake ya kihuni .... Hata hvyo wote siwakubali
Mbowe kufanya hivio ni bora sababu akimfuata lissu hanataka maandamano nyiyi mnao mchukia mbowe lissu hakiitisha maandamano hamuendi
 
Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts).

Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo.

Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara ya kwanza Lissu kupinga mariadhiano, hizi kauli Mwenyekiti anazicheki kimoyoni, atakuwa anamlia timing tu.

Sasa ukirudi kitaalam na tabia za watu hawa ni hivi;

Lissu mimi ni mtu nimekutana nae mara nyingi na kufanya nae maongezi, ni mtu anaejiamini halafu mjuaji sana, ila anajua historia na sheria tu mambo mengine anaforce tu.

Mbowe sijawahi kutana nae wala kuongea nae, ila ni mtu very calculative na mtu ambae hataki utani ovyo linapokuja swala la uongozi ndani ya CHADEMA, kaijenga CHADEMA.

Sasa why watu hawa watakuja kukugombana; Mbowe ni mtu wa planning sana mambo yake, wakati Lissu ni mjuaji, hasikilizagi la mtu akimua lake. Narudia, Lissu nimeongea nae mara nyingi sana namjua, halafu short temper.

Hapa ndio utabiri wangu unasema mwaka huu hauishi Lissu na Mbowe kitanuka mbaya. Lissu anaona ana mashabiki wengi, Mbowe yeye Mwenyekiti.

Tawire tawire, hii ni ramli chonganishi ya kisiasa.

Ramli wadau mmeionaje au nimezengua?
Ramli hii naona kama unabii ambao unasubiriwa kutimia! kwa Kweli Ramli hii ina kaukweli kwa 100%
 
Back
Top Bottom