Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Hata mimi naona hivyo. Hivi karibuni ataanza kuloa matusi kama ya slaaTawire tawire wana zengo... nataka nitoe ramli chonganishi(natania ila nina facts)
pale ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka kama hamjua hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo
kauli za lissu lazima zitakuwa zinamkera sana mwenyekiti hadi juzi mrema katoka kuzipinga
sio mara ya kwanza lissu kupinga mariadhiano hizi kauli mwenyekiti anazicheki kimoyoni atakuwa ana mlia timing tu
sasa ukirudi kitaalam na tabia za watu hawa ni hivi
lissu mimi ni mtu nimekutana nae mara nyingi na kufanya nae maongezi ni mtu anae jiamini afu mjuaji sana ila anajua historia na sheria tu ..mambo mengine anaforce tu
mbowe sijawahi kutana nae wala kuongea nae ila ni mtu very calculative na mtu ambae hataki utani ovyo linapokuja swala la uongozi ndani ya chadema kaijenga chadema
sasa why watu hawa watakuja kukugombana mbowe ni mtu wa planning sana mambo yake .....wakati lissu ni mjuaji asikilizagi la mtu akimua lake narudi lissu nimeongea nae mara nyingi sana namjua afu short temper
hapa ndo utabiri wangu unasema mwaka huu hauishi lissu na mbowe kitanuka mbaya.....
lissu anaona ana mashabiki wengi .... mbowe yeye mwenyekiti ...
Tawire tawire hii ni ramli chonganishi ya kisiasa
Tawire tawire wana zengo... nataka nitoe ramli chonganishi(natania ila nina facts)

mbona wewe hujagombana na baba yako?
Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts).
Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo.
Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara ya kwanza Lissu kupinga mariadhiano, hizi kauli Mwenyekiti anazicheki kimoyoni, atakuwa anamlia timing tu.
Sasa ukirudi kitaalam na tabia za watu hawa ni hivi;
Lissu mimi ni mtu nimekutana nae mara nyingi na kufanya nae maongezi, ni mtu anaejiamini halafu mjuaji sana, ila anajua historia na sheria tu mambo mengine anaforce tu.
Mbowe sijawahi kutana nae wala kuongea nae, ila ni mtu very calculative na mtu ambae hataki utani ovyo linapokuja swala la uongozi ndani ya CHADEMA, kaijenga CHADEMA.
Sasa why watu hawa watakuja kukugombana; Mbowe ni mtu wa planning sana mambo yake, wakati Lissu ni mjuaji, hasikilizagi la mtu akimua lake. Narudia, Lissu nimeongea nae mara nyingi sana namjua, halafu short temper.
Hapa ndio utabiri wangu unasema mwaka huu hauishi Lissu na Mbowe kitanuka mbaya. Lissu anaona ana mashabiki wengi, Mbowe yeye Mwenyekiti.
Tawire tawire, hii ni ramli chonganishi ya kisiasa.
Ramli wadau mmeionaje au nimezengua?
Mbowe kufanya hivio ni bora sababu akimfuata lissu hanataka maandamano nyiyi mnao mchukia mbowe lissu hakiitisha maandamano hamuendiLissu Hana njaa kama hao kenge wengine Wa maridhiano, Kwa kusimamia anachokiamini Lissu almanusura apoteze uhai wake , ni vigumu yeye msimamo wake kuuuza kifala kama hao akina mbowe na magenge yake ya kihuni .... Hata hvyo wote siwakubali
Ramli hii naona kama unabii ambao unasubiriwa kutimia! kwa Kweli Ramli hii ina kaukweli kwa 100%