hiyo simba ata ijaonekana inavochezaa muneaza uchawiSimba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
Ila ni kama ametaja timu kubwa tu kwani hiyo uliyosema nayo timu ya mpira wa miguu au mi ndo kidogo majira yamepotea😏😏🐸🐸Umesahau na YAnga kaka
Imepita hiyo kwa kura zote na bila kupingwaSimba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
Simba ya mwaka huu mmepigwa.
Tembelea official pages za Yanga kwa habari kuhusu Yanga.
Simba imeshacheza mechi nyingi msimu huu za preseason,ili kuziona mwanzo mwisho inahitaji uwe na conection.hiyo simba ata ijaonekana inavochezaa muneaza uchawi
Nafasi ya tatu kati ya Yanga au KMC mmoja wapo anaweza kuwa kwenye hiyo nafasi.Umesahau na YAnga kaka
Huu ni ukatili mkuu [emoji23][emoji23] ..1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
Huu sio utabiri ndio ukweli yaaniSimba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
Sio timu kubwa hyoo!Umesahau na YAnga kaka
Vipi walikua wanaupiga mwingi au ndio majangaSimba imeshacheza mechi nyingi msimu huu za preseason,ili kuziona mwanzo mwisho inahitaji uwe na conection.
Alaiyenionyesha video alikataa katakata kunirushia,ni mdau wa ndani wa club.Simba hii ina usiri mkubwa sana kwenye mambo yake tofauti na miaka ya nyuma.
Neno lako sio sheria.Simba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.