Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema mkuu wa jina languVipi? Mbona muendelezo hatuuoni?
Tred nyingi sana za namna hii za kujifariji mnazishusha tu nyie makolo. Ni kama mmepanick. Kwenye hiyo hiyo ligi yenu ya matopeni hujasahau kitu1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
Mpaka sasa Simba ni wa tano kwenye ligi, wiki ijayo anakuwa wa kumi.1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
Kwani hiyo ni timu kubwa kwa Sasa.Umesahau na Yanga kaka