Natabiri msimu huu Simba kuchukua ubingwa tena, Azam kushika nafasi ya pili ligi kuu ya Tanzania

Natabiri msimu huu Simba kuchukua ubingwa tena, Azam kushika nafasi ya pili ligi kuu ya Tanzania

1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
Tred nyingi sana za namna hii za kujifariji mnazishusha tu nyie makolo. Ni kama mmepanick. Kwenye hiyo hiyo ligi yenu ya matopeni hujasahau kitu
 
Umesahau na Yanga kaka
Kwani hiyo ni timu kubwa kwa Sasa.
Usichanganye ukubwa na ukongwe. Utopolo ni timu kongwe siyo kubwa Wala siyo bora.

Hata viwango vya CAF ni ya 88. Ina tofauti gani na Kitayosa au Ndanda.
 
Back
Top Bottom