Natabiri msimu huu Simba kuchukua ubingwa tena, Azam kushika nafasi ya pili ligi kuu ya Tanzania

Natabiri msimu huu Simba kuchukua ubingwa tena, Azam kushika nafasi ya pili ligi kuu ya Tanzania

Simba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
hiyo simba ata ijaonekana inavochezaa muneaza uchawi
 
Simba ya mwaka huu mmepigwa.
IMG-20210915-WA0012.jpg
 
hiyo simba ata ijaonekana inavochezaa muneaza uchawi
Simba imeshacheza mechi nyingi msimu huu za preseason,ili kuziona mwanzo mwisho inahitaji uwe na conection.
Alaiyenionyesha video alikataa katakata kunirushia,ni mdau wa ndani wa club.Simba hii ina usiri mkubwa sana kwenye mambo yake tofauti na miaka ya nyuma.
 
Umesahau na YAnga kaka
Nafasi ya tatu kati ya Yanga au KMC mmoja wapo anaweza kuwa kwenye hiyo nafasi.
Kwanini nasema hivyo,Yanga msimu wote huu watakua na mgogoro utakao athiri pia wachezaji ndani ya uwanja,hili litatokea endapo watabadili kocha na bado wakashindwa kupata matokeo kwa ugeni wa kocha ama wachezaji kushindwa kuendana na falsafa ya huyo kocha mpya.wakati huo mashabiki wa Yanga wana pressure ya kutaka matokeo ya haraka kama walivyokawaida yao.hapo sasa ndo watazidi kuvurunda.
 
Simba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022.Azam atashika nafasi ya pili.
Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
Huu sio utabiri ndio ukweli yaani
 
Mkuu utabiri wako unaweza kuwa wa kweli, lakin ni mapema kuweka bayana hilo! Ujue pamoja na usajili iloufanya pia Simba imeondokewa na wachezaji mahiri kama Triple C na Konde Boy! Ni wachezaji ambao tayri walikuwa wameshajenga muunganiko ambao kuujenga kwa haraka sio jambo jepesi!
Jambo la kuomba Mungu ni waanze vizuri ligi kuu na CAF champions Lg, wakichemsha hapo migogoro ni lazima itaibuka klabuni!
Yanga safari hii wamefanya usajili mkali, tusiwachukulie poa!
 
1. Simba
2. Azam
3. Biashara
4. Ruvu ya Masau Bwire
5. KMC
6. Namungo
7. Coastal Union
Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Simba imeshacheza mechi nyingi msimu huu za preseason,ili kuziona mwanzo mwisho inahitaji uwe na conection.
Alaiyenionyesha video alikataa katakata kunirushia,ni mdau wa ndani wa club.Simba hii ina usiri mkubwa sana kwenye mambo yake tofauti na miaka ya nyuma.
Vipi walikua wanaupiga mwingi au ndio majanga
 
Tunaomba utabiri wako kuhusu Yanga watapigwa kuanzia magoli mangapi kule Kwa kina Boko Haram?
 
Back
Top Bottom