Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 3, 2021 #41 Ngoja tuone...
Natafuta kiki JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 911 Reaction score 1,294 Oct 3, 2021 #42 Yehoshafati said: Vipi? Mbona muendelezo hatuuoni? Click to expand... Kwema mkuu wa jina langu Nimefurahi sana kuona kumbe na wewe ni mwananchi
Yehoshafati said: Vipi? Mbona muendelezo hatuuoni? Click to expand... Kwema mkuu wa jina langu Nimefurahi sana kuona kumbe na wewe ni mwananchi
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,613 Reaction score 8,082 Oct 3, 2021 #43 Chen Hu said: 1. Simba 2. Azam 3. Biashara 4. Ruvu ya Masau Bwire 5. KMC 6. Namungo 7. Coastal Union Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa Click to expand... Tred nyingi sana za namna hii za kujifariji mnazishusha tu nyie makolo. Ni kama mmepanick. Kwenye hiyo hiyo ligi yenu ya matopeni hujasahau kitu
Chen Hu said: 1. Simba 2. Azam 3. Biashara 4. Ruvu ya Masau Bwire 5. KMC 6. Namungo 7. Coastal Union Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa Click to expand... Tred nyingi sana za namna hii za kujifariji mnazishusha tu nyie makolo. Ni kama mmepanick. Kwenye hiyo hiyo ligi yenu ya matopeni hujasahau kitu
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Oct 3, 2021 #44 Chen Hu said: 1. Simba 2. Azam 3. Biashara 4. Ruvu ya Masau Bwire 5. KMC 6. Namungo 7. Coastal Union Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa Click to expand... Mpaka sasa Simba ni wa tano kwenye ligi, wiki ijayo anakuwa wa kumi.
Chen Hu said: 1. Simba 2. Azam 3. Biashara 4. Ruvu ya Masau Bwire 5. KMC 6. Namungo 7. Coastal Union Sidhani kama kuna timu kubwa nimeisahau hapa Click to expand... Mpaka sasa Simba ni wa tano kwenye ligi, wiki ijayo anakuwa wa kumi.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Oct 4, 2021 #45 mpiga era said: Umesahau na Yanga kaka Click to expand... Kwani hiyo ni timu kubwa kwa Sasa. Usichanganye ukubwa na ukongwe. Utopolo ni timu kongwe siyo kubwa Wala siyo bora. Hata viwango vya CAF ni ya 88. Ina tofauti gani na Kitayosa au Ndanda.
mpiga era said: Umesahau na Yanga kaka Click to expand... Kwani hiyo ni timu kubwa kwa Sasa. Usichanganye ukubwa na ukongwe. Utopolo ni timu kongwe siyo kubwa Wala siyo bora. Hata viwango vya CAF ni ya 88. Ina tofauti gani na Kitayosa au Ndanda.