Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Habari Wana JF

Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai

Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.

Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh. Paul Makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.

Hivi kwanini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?

Je, kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?

Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.

Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.

Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.

Poul Makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.

Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .

Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.

Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.

Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.

Mungu akulinde na mabaya, akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.Paul Makonda.

Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo

Ahsante.
Kwa hayo uliyosema ni sawa na mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe, wakati ukifanya jambo inatakiwa wengine ndio wacheke na ndipo na wewe unaweza kucheka nao.
 
Inawezekana kwa kujua au bila kujua hao wanaomshutumu na kumwandama Mh. Komredi Makonda wanamjenga na kumuimarisha ili pale atakaposimama 2030 awe imara zaidi!
Wanamkosoa wanataka afanye vizuri zaidi ili ainuke, wakati wapambe wake (wanapojifanya wana upendo kwake na wanamuunga mkono kwa yale anayoyafanya) wanataka huo udhaifu aliona uendelee na hatimaye aharibu zaidi. Sasa nani kati ya "wapambe" na "wanaomkosoa" wana upendo zaidi kwake? Hao wanaotaka "afanye vizuri zaidi" (arekebishe) au hao "wanaona anafanya vizuri zaidi" (aendelee kutoa kauli tata na zenye tafsiri hasi)?
 
Nimeota ndoto leo natumiwa text msg moja baada ya nyingine,natumiwa sh millioni kumi,milioni 20,zile text msg kama nimetumiwa sh milioni mia.
Siku zote nasema ndoto haihitaji ufasiri,it means exactly what you saw.
Kwa sababu utabiri utakuwa a glimpse into one day in the future.
Ndoto unayoota,umeona makopo mengi yamejipanga,halafu unaamua kwamba Makonda atakuwa rais,hivyo siyo kutabiri tunavyofahamu sisi.
Lakini hapa I am completely baffled. Nimeota napata jela,hizo jela zinatoka wapi?
 
Habari Wana JF

Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai

Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.

Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh. Paul Makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.

Hivi kwanini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?

Je, kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?

Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.

Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.

Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.

Poul Makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.

Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .

Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.

Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.

Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.

Mungu akulinde na mabaya, akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.Paul Makonda.

Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo

Ahsante.
Haya si mapya hata kardinali magamba matatu ameishatabiri
Nisichojua atakuuwa raisi wa nchi ipi?

Hakuna nchi yenye watu wenye akili timamu itampa huyu nafasi ziro brain ya kugombea uraisi

Mada za namna hii ndo zinadhihirisha IQ ya wabongo ilo chini sana kwa mujibu wa tafiti

Watu wenye utimamu wa akili wanakadili matatizo ya nchi na namna ya kuyatatua si muda muafaka kujadili majina watu
 
Wanamkosoa wanataka afanye vizuri zaidi ili ainuke, wakati wapambe wake (wanapojifanya wana upendo kwake na wanamuunga mkono kwa yale anayoyafanya) wanataka huo udhaifu aliona uendelee na hatimaye aharibu zaidi. Sasa nani kati ya "wapambe" na "wanaomkosoa" wana upendo zaidi kwake? Hao wanaotaka "afanye vizuri zaidi" (arekebishe) au hao "wanaona anafanya vizuri zaidi" (aendelee kutoa kauli tata na zenye tafsiri hasi)?
Ahahahahaha! Kwamba Erythrocyte anapomposti anmuimarisha zaidi Makonda!? Ahahahahaha!!!
 
Kwani maana ya kukosoa ni nini? Si ni kwamba kuna upungufu katika jambo fulani na inatakiwa kurekebisha ili ufanye vizuri zaidi? Lakini kusifia kila jambo ina maana huyo mtu asibadilishe chochote na aendelee hivyo hivyo. Sasa nani anayemsaidia mtu kuwa bora, ni yule anayemsifia kwa kila jambo au yule anayemkosoa ili arekebishe (afanye perfect)? Kuna wakati ilitokea kwangu wakati naanza maisha. Nilikuwa na mfanyakazi wa ndani na nilikuwa hata kitanda sina. Mara habari zangu zikavuja mtaani: sina kitanda, nina viatu jozi moja, sina meza kwa ya chakula, kabati la vyombo, sina TV, nk. Niliposikia hizi habari sikufurahishwa na nilitaka kumfukuza mfanyakazi. Lakini baadaye nikajifikiria kwamba alichokimwaga mtaani ni kweli. Badala ya kumfukuza, nikaorodhesha vitu vyote ambavyo watu wa mtaani walikuwa wakinicheka sina na nikaanza kununua kimoja baada ya kingine kadiri Mungu alivyokuwa akinijalia. Nilipokamilisha list nzima nikakaa kimya. Hata wakati nahama eneo hilo watu walishangaa vitu nilivyokuwa navyo baada ya kuona vilikuwa vingi kuliko walivyofikiria. Tangu hapo nikajifunza kwamba ukikosolewa na ukakubali kukosolewa uta'improve' katika mambo mengi. Ukipuuza na kwenda kivyakovyako utabaki nyuma milele. Kwa hiyo, jifunzeni kupenda kukosolewa na siyo kusifiwa tu!
 
Habari Wana JF

Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai

Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.

Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh. Paul Makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.

Hivi kwanini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?

Je, kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?

Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.

Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.

Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.

Poul Makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.

Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .

Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.

Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.

Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.

Mungu akulinde na mabaya, akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.Paul Makonda.

Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo

Ahsante.
.
 
Yaan nchi iongozwe na FORM FOUR FAILURE.

Acha kutudharau hii nchi sio ya kuongozwa na MAZUZU.

Bashite awe mkuu wa nchi haiwezekani abadani.
 
Back
Top Bottom