Natabiri rasmi Yanga watamaliza ligi kuu wakiwa nafasi ya nne.

Hance Mwanangu Kumbe muoga sana, wacha mikukumbushe kidogo,msimu wa mwaka jana tulikua ovyo sana,wachezaji hawakua fit100% kupambana na wapenzi wengi wa mpira waliipa nafasi mikia kuchukua ubingwa lakini unakumbuka kilichotokea...........siri yako,acha sasa nikutoe wasiwasi, Yanga ndio bingwa msimu huu (mark my words),mbumbumbu wasikutishe pale kuna kibaraka wetu mmoja ikifika mwezi wa 12 viongozi wao wataanza kugombana ovyo baada ya muda utaona wachezaji wakianza mgomo baridi wakiongozwa na mkude huku yanga ikizidi kuimarika vzr,tuuache muda utaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe endelea kujisifia msimu wako wa kubebwa ndo ushakwisha

Saivi sahau kubeba yanga tupa huko
 
Badala ya kukosoana wenyewe,mnatukana wapenzi wa simba. Mi nasema anzeni kufahamiana kwanza na mapungufu yenu.
 
Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Huo ndo ukwel na iyo ndo nafac yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunya kojoa ukalale.. Una kaa unaota mchana.. Hakuna timu ya kuinyang'anya yanga ubingwa

[HASHTAG]#NitasemaUongoDaimaUkweliKwanguMwiko[/HASHTAG]
 
Kipa wa mbao kauza mechi ya singida united ..Takukuru ingia mzigoni
 
Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Ligi bado kaka
 
Unaota ndoto za mchana mchana wewe
 
Mara nyingi kipinda cha furaha kwa wanasheild ni kipindi cha usajili na mwanzoni mwa ligi

17 PHD these are results
 
Baada ya kuvimbiwa kande unaanza kuandika chochote...Pasi hata kutoa maelezo ya kitaalamu...

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…