Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Na wakishindwa kuchukua msimu huu wangojee misimu mitano ijayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakishindwa kuchukua msimu huu wangojee misimu mitano ijayo.
Wewe endelea kujisifia msimu wako wa kubebwa ndo ushakwishaHance Mwanangu Kumbe muoga sana, wacha mikukumbushe kidogo,msimu wa mwaka jana tulikua ovyo sana,wachezaji hawakua fit100% kupambana na wapenzi wengi wa mpira waliipa nafasi mikia kuchukua ubingwa lakini unakumbuka kilichotokea...........siri yako,acha sasa nikutoe wasiwasi, Yanga ndio bingwa msimu huu (mark my words),mbumbumbu wasikutishe pale kuna kibaraka wetu mmoja ikifika mwezi wa 12 viongozi wao wataanza kugombana ovyo baada ya muda utaona wachezaji wakianza mgomo baridi wakiongozwa na mkude huku yanga ikizidi kuimarika vzr,tuuache muda utaamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo wa baba.ko Manji siyo?..
Nenda kanye muda ushafika wewe mremboUbongo wa baba.ko Manji siyo?..
Huo ndo ukwel na iyo ndo nafac yenuNatabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
[emoji56][emoji56][emoji34]Tume droo mechi yetu ya kwanza.
Timu haichezi vizuri.
Tumepata bao moja mechi dhidi ya Njombe Mji.
Lwandamina sio kocha.
Msuva hayupo.
😀😀😀😀😀😀😀😀
Ligi bado kakaNatabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Ukiweza kunitajia mwaka hata mmoja ambao Yanga alishika nafasi ya nne nitaamini maneno yakoHapana, kukosekana kwa mihela ya kuhonga ya Manji...