OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Wakuu
Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni
moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na kuwaomba wakapige kura
Ktk hali kama hii huko mbeleni kundi moja likilishinda kundi jingine kuna hatari ya kuja kuanza kubaguana kwa imani zetu
Hii hali haiepukiki siku akitokea mchungaji mmoja au shehe mmoja akaasogeza petrol kwenye hizi cheche zinazowaka basi naiona hatari ya kubaguana kidini inakuja
Nawasilisha