OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Inasikitisha mno🚶🏾Wakuu
Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni
moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na kuwaomba wakapige kura
Ktk hali kama hii huko mbeleni kundi moja likilishinda kundi jingine kuna hatari ya kuja kuanza kubaguana kwa imani zetu
Hii hali haiepukiki siku akitokea mchungaji mmoja au shehe mmoja akaasogeza petrol kwenye hizi cheche zinazowaka basi naiona hatari ya kubaguana kidini inakuja
Nawasilisha
Kama ilivyokuwa kwa watusi na wahutuWakuu

Hizi akili ndio zitakazoleta shida na hizi akili za namna hii wanazo viongozi wengi wa kidiniLazima tuwakandamize wakristo
Ni hofu; kila mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii hawezi kuacha kuwa na hofu ya namna hiyo; lakini usiisukume mbele sana hofu yako hiyo bila ya sababu nzito.Wakuu
Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni
moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na kuwaomba wakapige kura
Ktk hali kama hii huko mbeleni kundi moja likilishinda kundi jingine kuna hatari ya kuja kuanza kubaguana kwa imani zetu
Hii hali haiepukiki siku akitokea mchungaji mmoja au shehe mmoja akaasogeza petrol kwenye hizi cheche zinazowaka basi naiona hatari ya kubaguana kidini inakuja
Nawasilisha
Ndicho nilicho jaribu kueleza hapo juu, bila shaka bila ya mafanikio ya kukieleza vizuri. Nakupongeza kwa kutumia maneno machache yanayoeleza hali kamili.Waislam hatuko na samia ,bali tunataka haki sababu huu ugandanizwaji wa haki haubagui dini….Hao ni maustadh wajinga na wachumia tumbo tu….No reforms No Election.
Udini una zaidi ya nusu karne nchi hii,dini moja tu ndo ilikua imelalaWakuu
Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni
moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na kuwaomba wakapige kura
Ktk hali kama hii huko mbeleni kundi moja likilishinda kundi jingine kuna hatari ya kuja kuanza kubaguana kwa imani zetu
Hii hali haiepukiki siku akitokea mchungaji mmoja au shehe mmoja akaasogeza petrol kwenye hizi cheche zinazowaka basi naiona hatari ya kubaguana kidini inakuja
Nawasilisha
Na sasa imeamka!Udini una zaidi ya nusu karne nchi hii,dini moja tu ndo ilikua imelala
Shauri yakoNa sasa imeamka!
Hilo Genge unalowakilisha wewe tumekuwa nalo siku zote; na siyo kwamba ni DINI kama unavyotaka kuaminisha watu hapa.
Hili si shauri langu, ni shauri la nchi yetu sote. Nyinyi mnaotaka kuwa kundi maalum ndani ya nchi yetu, kwa kusingizia dini tu; italazimu mfanye kazi ya ziada kuvuruga umoja wetu ambao umekuwepo kwa muda mrefu.Shauri yako