Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 559
- 1,008
Mimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU
"Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
"Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
JAmbo hilo bado kulifikia mkuu, au we upo nje ya nchi?Siku ya tar 28 oktoba 2025 ni siku ya ukombozi wa taifa hili
Kutakuwa na mandamano ya amani nchi nzima kudai reforms,siku hiyo police watakuja na mikwara kibao lakini hatutaogopa
Miye natabiri mhe BitekoMimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU
"Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
Utabiri mzuriSiku ya tar 28 oktoba 2025 ni siku ya ukombozi wa taifa hili
Kutakuwa na mandamano ya amani nchi nzima kudai reforms,siku hiyo police watakuja na mikwara kibao lakini hatutaogopa
Mimi Niko ndani ya nchi na nitashiriki mandamano hayoJAmbo hilo bado kulifikia mkuu, au we upo nje ya nchi?
Sawa mkuu, kila la kheriMimi Niko ndani ya nchi na nitashiriki mandamano hayo
Nanauka labda Unabibu waziri kwanza.. and Waziri kamili siku za mbeleni. Kutoka kuwa newcomer mpaka uwaziri mkuu ni kitu kisichowezekanaNext PM will be Bashungwa , or Joel Nanauka.
Nanauka alibidi kuwa Rais kwakuwa yupo smart Sana kichwani.Nanauka labda Unabibu waziri kwanza.. and Waziri kamili siku za mbeleni. Kutoka kuwa newcomer mpaka uwaziri mkuu ni kitu kisichowezekana
Kama hajajikua wewe ni chizi wahi Kwa daktariMimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU
"Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
Kama atakuwa Pm,ndoto ya Urais kwa kheriNi Rizimoko ndo next PM
Toka hapaNext PM will be Bashungwa , or Joel Nanauka.
Ko washapita tayari Kumbe.... Anyway Hakuna PM kwenye hao watu wako ( KADOGOSA...BITEKO....ni machache kati ya manne ambayo mmoja wapo atakuwa PM)Next PM will be Bashungwa , or Joel Nanauka.