Umsolopagaasi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 940
- 975
hautaogopa nanani?Siku ya tar 28 oktoba 2025 ni siku ya ukombozi wa taifa hili
Kutakuwa na mandamano ya amani nchi nzima kudai reforms,siku hiyo police watakuja na mikwara kibao lakini hatutaogopa
Mkenda hekima na busara vimezidi hiyo kazi haiwezi mawaziri watamsumbuaProfesa Mkenda na Biteko ndiho wanachuana vikali
Naunga mkono hojaMiye natabiri mhe Biteko
Baba yake ndo mtawala mkuu wa hii tanzagiza, akiamua atakuwa tu Rais, maana hakuna wa kuifanya chochote Ile familia ya kifalme, atakuwa PM wa kwanza kuwa Rais katika historia ya nchiKama atakuwa Pm,ndoto ya Urais kwa kheri
Hapana kwa sababu Julius Nyerere aliwahi kuwa waziri mkuu kabla ya uraisBaba yake ndo mtawala mkuu wa hii tanzagiza, akiamua atakuwa tu Rais, maana hakuna wa kuifanya chochote Ile familia ya kifalme, atakuwa PM wa kwanza kuwa Rais katika historia ya nchi
Nyamitako naye anauwania sana Uwaziri Mkuu
Malaya mange anawapelekesha!Mimi Niko ndani ya nchi na nitashiriki mandamano hayo
Nyamitako naye anauwania sana Uwaziri Mkuu
Ni sawa na kutabiri eti Samia atakuwa Rais.Mimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU
"Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
Hii ndoto umeota ukiwa wapi ?Siku ya tar 28 oktoba 2025 ni siku ya ukombozi wa taifa hili
Kutakuwa na mandamano ya amani nchi nzima kudai reforms,siku hiyo police watakuja na mikwara kibao lakini hatutaogopa
Yes, point of correction, atakuwa wa piliHapana kwa sababu Julius Nyerere aliwahi kuwa waziri mkuu kabla ya urais
Bora malaya mange ana influence FulaniMalaya mange anawapelekesha!
Sema jamaa ni smart sana labda abadilishwe na mfumoNanauka labda Unabibu waziri kwanza.. and Waziri kamili siku za mbeleni. Kutoka kuwa newcomer mpaka uwaziri mkuu ni kitu kisichowezekana
Once a TO always a TOSema jamaa ni smart sana labda akashwe na mfumo