Natabiri uwenda mtu akazuiwa kuingia vikao vya NEC au kuondolewa NEC

Natabiri uwenda mtu akazuiwa kuingia vikao vya NEC au kuondolewa NEC

Kwa hali ya upepo na yale nayaona kuna kila dalili NEC ika kaa huku ikumuenguwa MNEC mmoja japo itakuwa kasheshe sana let pray for Nation kaz ni nzito sana.
Wamzue wasimzuie, Gwajima ni TEC binafsi, chochote kilichoko Ndani ya CCM na Serikalini , Huwa anavipata.


Kwan unadhan jamaa hawajui watekaji Kwa majina?.


Press ya Jana Kwa Lugha nyepesi alimaanisha hivi "Kuna viongozi wa Dola, hawapendezwi na Mateso yanayoendelea, ila wanashindwa kufanya maamuzi sababu Genge Hilo la utesaji ni la Samia"
 
Kwa hali ya upepo na yale nayaona kuna kila dalili NEC ika kaa huku ikumuenguwa MNEC mmoja japo itakuwa kasheshe sana let pray for Nation kaz ni nzito sana.
Pray for the nation? are you serious? kwa ajili ya MNEC ccm. Huu ujinga mwingine jamani tupumzishane, tuna matatizo mengi sana kama nchi.
 
Tukiacha madhaifu ya kibinadam, huyu mwamba nikama the next president
Kweli hii nchi ina wapumbavu wengi na mmoja wapo ni wewe.

Watanzania ni Watu Wajinga Sanaa, yani wanakuja Kupozwa kidogo tu na huyu TAPELI wa UFUFUO wanashangilia 😁😁😁

- Hii Nchi Kuiongoza ni Vyepesi sanaaa ndio Maana Hata SAMIA kaweza tena Sanaa tu...

Hata kama Tunajadili Hoja ya Gwajima iliyopo Mezani ila hii haifuti UTAPELI wake.
 
Back
Top Bottom