kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Tuta la udongo linazuia maji kwa mda tu, litazolewa jumla jumla.
Nadhani hayo yote amesha chukua tahadhari , GWAJIMA sio MWIJAKU au MAFUFUKwa hali ya upepo na yale nayaona kuna kila dalili NEC ika kaa huku ikumuenguwa MNEC mmoja japo itakuwa kasheshe sana let pray for Nation kaz ni nzito sana.
Nashangaa watu wanamuona kama Gwajima ni Mkombozi hii nchi inaitaji MaombiKweli hii nchi ina wapumbavu wengi na mmoja wapo ni wewe.
Watanzania ni Watu Wajinga Sanaa, yani wanakuja Kupozwa kidogo tu na huyu TAPELI wa UFUFUO wanashangilia 😁😁😁
- Hii Nchi Kuiongoza ni Vyepesi sanaaa ndio Maana Hata SAMIA kaweza tena Sanaa tu...
Hata kama Tunajadili Hoja ya Gwajima iliyopo Mezani ila hii haifuti UTAPELI wake.
Nakubaliana na wewe. Hoja hizo ni nzuri sana na zimetolewa wakati muafaka kabisa.Nime
Nashangaa watu wanamuona kama Gwajima ni Mkombozi hii nchi inaitaji Maombi