Natabiri wiki ijayo waasi wataiteka Addis Ababa

Natabiri wiki ijayo waasi wataiteka Addis Ababa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.

Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini.

Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi, tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.

Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.

Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq, wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.

Remember? Rubani Gunther Russbacher alikuwa jela wakati ule, wamkamtoa jela, aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako, you are the only Onen who can help us in this.

Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni, Wachina wanafanya hivyo hivyo.
 
Mtoa mada umesahau naona ulikuwa unaota ila bado ujazinduka. TPLF ishagawanyika sasa ivi,muda si mrefu Tigray inachukuliwa.

Makamanda wengi wamekimbia na wengine wamejisalimisha kwenye mikono ya serikali.Pale kuna mchina,Iran,Mturuki na UAE.

Marekani sasa ivi sizani kama atakuwa anapeleka ovyo majeshi sehemu maana hasara aliyoipata kule Graveyard of empire,sizani kama anaitaka tena kwa sasa ivi
 
"The biggest mobilization of Coast Guards since WW II",Joel Biden amewamobilize Coast Guards waende kupigana Ethiopia. Amepeleka Special Forces(you know,the commando soldiers). Amepeleka tanks in case itahitajika kuingia Ethiopia Joe Biden amejipanga sana,precisely because of the Kabul fiasco Amejipanga kuhakikisha kwamba hakuna mtu anadandia lwenye bawa la ndenge la kuanguka after take off,kama ilivyokuwa Kabul .
 
U make a point.

Wazungu hawatabiriki, wakiamua kuiangamiza nchi hawana la urafiki wala ujamaa wa zamani.
 
Hao waasi wanakaribia kushindwa, na walishaanza kushindwa wiki3 zilizopita . Marekani na washirika wake kuona hivyo wakaamua kuwekeza katika propaganda , kwa mujibu wa wataalamu wa mambo : mpango ulikuwa nikupiga propaganda kuwa waasi wanakaribia Addis Ababa ili kuleta chaos ili Marekani atumie nafasi hiyo kuishambulia Ethiopia kwa kutumia kambi yao ya Djibouti . Sema Ethiopia waliusoma/ama walitonywa huo mchezo , wakajibu propaganda zao na propaganda za magharibi zikafeli.

China kashawahakikishia Ethiopia support wiki hii sidhani kama Marekani anaweza participate tena directly kwenye hiyo vita kwani ita wa cost gharama kubwa, kutokana na China kuonesha wazi ku support serikali ya Ethiopia.
 
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.

Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini .

Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi,tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.

Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.

Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq,wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.

Remember? Rubani Russbacher alikuwa jela wakati ule,wamkamtoa jela,aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako,you are the only Onen who can help us in this .

Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni,Wachina wanafanya hivyo hivyo.
Ukishaona porojo za kujifariji basi ujue maumivu tayari kwa waasi wa tplf 😀😀
 
"The biggest mobilization of Coast Guards since WW II",Joel Biden amewamobilize Coast Guards waende kupigana Ethiopia. Amepeleka Special Forces(you know,the commando soldiers). Amepeleka tanks in case itahitajika kuingia Ethiopia Joe Biden amejipanga sana,precisely because of the Kabul fiasco Amejipanga kuhakikisha kwamba hakuna mtu anadandia lwenye bawa la ndenge la kuanguka after take off,kama ilivyokuwa Kabul .
Hawa mbwa wa us shida yao ni nini hasa
 
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.

Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini .

Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi,tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.

Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.

Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq,wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.

Remember? Rubani Russbacher alikuwa jela wakati ule,wamkamtoa jela,aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako,you are the only Onen who can help us in this .

Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni,Wachina wanafanya hivyo hivyo.
Waasi hawana lao tena mchezo unaelekea kuisha
 
Shida ni kwamba, hata kama waasi watashindwa bado vita haijaisha kwa kuwa madai yao hayajatekelezwa. Vema kukaa meza moja, vinginevyo kutakuwa na political unrest for the rest of years until solved
 
Shida ni kwamba, hata kama waasi watashindwa bado vita haijaisha kwa kuwa madai yao hayajatekelezwa. Vema kukaa meza moja, vinginevyo kutakuwa na political unrest for the rest of years until solved
 
Kuna mhadhiri wa sauti yeye ni muethiopia anahojiwa startv anachambua vizuri sana huu mgogoro
 
Kesho asubuhi,alfajiri,6 o'clock, December 7,Moscow time,ambayo pia ni Dar Es Salaam time,Putin ataongea na Joe Biden.
 
Back
Top Bottom