Natabiri yafuatayo yatatokea

Dead Man

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
709
Reaction score
827
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.

2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.

3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)

4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)

5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuja kwa ID fake.

6- Kuna mwana JF atapata teuzi serikalini

Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.

Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
 
Heeeee.... Wewe ni mzimu au zimwi?
 
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.
Huyu ni rev. Masanilo
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)
Huyu ni Mnyarwanda, Simba lialia
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
Umaarufu wa member unapimwa kwa kipimo gani?
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuwa kwa ID fake.
Utambulisho Feki ndio JamiiForums yenyewe. Vijana hamkumbuki na wala hamkijui kilichotupata enzi za JAMBOFORUMS
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.

Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
KUZIMU KUNA MIZIMU NA MAZIMWI, ASANTE?
 
Bujibuji member maarufu anapimwa kwa idadi ya jumbe, trophies, reaction scores na kuwa mentioned sana kama ulivyo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…