Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Haki huwinua Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayotokea siku za usoni.

Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbua wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza mtikisiko huu utakao likumba taifa.

Inashauriwa kuweka hakiba ya chakula maana kutokana na njaa na kukosekana kwa kipato watu watauza mpaka mbegu na chakula kitapanda bei sana.

Vuguvugu la siasa linalo endelea uwenda likatoka kuwa vuguvugu lakisiasa na kuwa vuguvugu lakidini nahapa kila asomaye aongezewe maarifa ni kwa namna gani au ni kwa jinsi gani hakuna ajuwae ila itakuwa nijambo la ghafla ambalo wengi hawakulitajaria.

Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia viongeze ulinzi maeneo yakusini mwa Tanzania maana kipo kitisho uwenda kukawa na mashambulizi wakati waubebaji na usafirishaji wa zao la korosho jambo litavurugha bei na biashara yenyewe. Nimuhimu serikali kuweka ulinzi wa kutosha na kusikiliza maoni ya Raia.

Mfumuko wa bei nakupanda dola nikitisho kina nyemelea taifa na hii sio dalili nzuri hii ni dalili mbaya kwa taifa kutokana tuna import sana.
 
Aliwazalo mjng ndo litakalo mtokeaaa....hiyo ndo darubini...!!!

Wazo zuri mkuu

Well said
 
Mbona mnatutisha wadau!!? Anyway kwa Mola tunatawakkal
 
Haki huwinuwa Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayo tokea siku za usoni.
Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbuwa wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza mtikisiko huu utakao likumba taifa.

Inashauriwa kuweka hakiba ya chakula maana kutokana na njaa na kukosekana kwa kipato watu watauza mpaka mbegu na chakula kitapanda bei sana.

Vuguvugu la siasa linalo endelea uwenda likatoka kuwa vuguvugu lakisiasa na kuwa vuguvugu lakidini nahapa kila asomaye aongezewe maarifa ni kwa namna gani au ni kwa jinsi gani hakuna ajuwae ila itakuwa nijambo la ghafla ambalo wengi hawakulitajaria.

Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia viongeze ulinzi maeneo yakusini mwa Tanzania maana kipo kitisho uwenda kukawa na mashambulizi wakati waubebaji na usafirishaji wa zao la korosho jambo litavurugha bei na biashara yenyewe. Nimuhimu serikali kuweka ulinzi wa kutosha na kusikiliza maoni ya Raia.

Mfumuko wa bei nakupanda dola nikitisho kina nyemelea taifa na hii sio dalili nzuri hii ni dalili mbaya kwa taifa kutokana tuna import sana.
Hakuna chochote kitakachotokea Tanzania kwa sababu Tanzania na watanzania tuna Mungu na tunaishi kimungumungu kwa kudra zake. Kama kipindupindu kimeshindwa kutufyeka basi tutasavaivu tu. Mkono wa Mungu hupo pamoja nasi.
 
ww sema tu ni mlanguz wa korosho..unaanzia mbali sana ila ndoto zako zitaendelea kua ndoto..hamna jipya
 
Utabiri wako hauna kichwa, wala miguu. Nchi iko kwenye mikono salama, hakuna mjinga yeyote iwe kusini au kaskazini atakaeleta ukanjanja wake ndan ya mipaka ya Tanzania. Trust me.
 
Haki huwinuwa Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayo tokea siku za usoni.
Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbuwa wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza mtikisiko huu utakao likumba taifa.

Inashauriwa kuweka hakiba ya chakula maana kutokana na njaa na kukosekana kwa kipato watu watauza mpaka mbegu na chakula kitapanda bei sana.

Vuguvugu la siasa linalo endelea uwenda likatoka kuwa vuguvugu lakisiasa na kuwa vuguvugu lakidini nahapa kila asomaye aongezewe maarifa ni kwa namna gani au ni kwa jinsi gani hakuna ajuwae ila itakuwa nijambo la ghafla ambalo wengi hawakulitajaria.

Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia viongeze ulinzi maeneo yakusini mwa Tanzania maana kipo kitisho uwenda kukawa na mashambulizi wakati waubebaji na usafirishaji wa zao la korosho jambo litavurugha bei na biashara yenyewe. Nimuhimu serikali kuweka ulinzi wa kutosha na kusikiliza maoni ya Raia.

Mfumuko wa bei nakupanda dola nikitisho kina nyemelea taifa na hii sio dalili nzuri hii ni dalili mbaya kwa taifa kutokana tuna import sana.
utumbo tu! Tusitishane!
 
Unaongelea Watanzania wa Norway na Denmark, siyo?
Hakuna chochote kitakachotokea Tanzania kwa sababu Tanzania na watanzania tuna Mungu na tunaishi kimungumungu kwa kudra zake. Kama kipindupindu kimeshindwa kutufyeka basi tutasavaivu tu. Mkono wa Mungu hupo pamoja nasi.
 
Haki huwinuwa Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayo tokea siku za usoni.
Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbuwa wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza mtikisiko huu utakao likumba taifa.

Inashauriwa kuweka hakiba ya chakula maana kutokana na njaa na kukosekana kwa kipato watu watauza mpaka mbegu na chakula kitapanda bei sana.

Vuguvugu la siasa linalo endelea uwenda likatoka kuwa vuguvugu lakisiasa na kuwa vuguvugu lakidini nahapa kila asomaye aongezewe maarifa ni kwa namna gani au ni kwa jinsi gani hakuna ajuwae ila itakuwa nijambo la ghafla ambalo wengi hawakulitajaria.

Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia viongeze ulinzi maeneo yakusini mwa Tanzania maana kipo kitisho uwenda kukawa na mashambulizi wakati waubebaji na usafirishaji wa zao la korosho jambo litavurugha bei na biashara yenyewe. Nimuhimu serikali kuweka ulinzi wa kutosha na kusikiliza maoni ya Raia.

Mfumuko wa bei nakupanda dola nikitisho kina nyemelea taifa na hii sio dalili nzuri hii ni dalili mbaya kwa taifa kutokana tuna import sana.
Upuuuuzi mtupu. Natabiri wewe utazidi kuwa maskini wa kunuka hasa nikiangalia uwezo wako wa kufikiri na yale unayofikiria. Unaongea kitu ambacho kimeishatokea halafu eti unauita utabiri. Mbona mfumko wa bei na kushuka kwa sarafu yetu vimekuwapo muda mrefu. Unaishi dunia gani wewe? Doomsayers kama wewe mtakufa kwa kijiba cha moyo huku nchi ikiendelea kudunda. Kajiunge na Gwajima mhubiri ujinga na upuuzi wenu kwa wapumbavu watakaowaaamini hata kama ni mawazo yako.
 
Back
Top Bottom