KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kukusoma wewe huwa napata shida sana nikikumbuka ushangiliaji wako juu ya maumivu waliyokuwa wakipewa waTanzania wenzako kama akina Lissu na wengine.Haki huwinuwa Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayo tokea siku za usoni.
Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbuwa wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza mtikisiko huu utakao likumba taifa.
Inashauriwa kuweka hakiba ya chakula maana kutokana na njaa na kukosekana kwa kipato watu watauza mpaka mbegu na chakula kitapanda bei sana.
Vuguvugu la siasa linalo endelea uwenda likatoka kuwa vuguvugu lakisiasa na kuwa vuguvugu lakidini nahapa kila asomaye aongezewe maarifa ni kwa namna gani au ni kwa jinsi gani hakuna ajuwae ila itakuwa nijambo la ghafla ambalo wengi hawakulitajaria.
Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia viongeze ulinzi maeneo yakusini mwa Tanzania maana kipo kitisho uwenda kukawa na mashambulizi wakati waubebaji na usafirishaji wa zao la korosho jambo litavurugha bei na biashara yenyewe. Nimuhimu serikali kuweka ulinzi wa kutosha na kusikiliza maoni ya Raia.
Mfumuko wa bei nakupanda dola nikitisho kina nyemelea taifa na hii sio dalili nzuri hii ni dalili mbaya kwa taifa kutokana tuna import sana.
Huu utabiri wako mbona husemi ni matokeo ya shangwe ulizokuwa ukizifanya wakati huo!