Natafakari nini cha kumfanya...

Sasa usiseme wanawake,ni huyo huyo,usi-generalize!

Ngoja nitakuja na Uzi wangu,niliompenda na kumhudumia mtu nikaishia maumivu,japo ni tofauti kidogo sio ya usaliti [emoji23]
Lkn siwezi walaumu au kuona wanaume wote ndo wako hivyo!
Na nimemsamehe nimemuacha tena alikaa mwezi tu baada ya ugomvi akawa na demu mwingine eneo hilohilo[emoji23]na tunaonana karibu kila siku!
We si ungeua mtu!

My point is,usifanye chochote kibaya muache,vitaisha hivyo soon na ataingia kwenye uhitaji na atakukumbuka trust me!
 
Umeanza ufeminist na wewe mchezo wenu ni hatari toka kipindi cha samson, aliniwai tu a step ahead but doesn't make her a winner cause bado maisha yanaendelea.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Tena ushukuru Mungu una mama anaeona mbali!
 
Nasikia jana kaja kunitafuta,home night kali sijajua anachotaka nimemwambia very clear siko interested na hii michezo ya paka na panya aendelee na maishe yake.
Duh,we usije kuwa ulirogwa!
Mpotezee atakuua bure!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dhuu!! Wazo zuri sema hamna haja ya yote hayo, kama kaniachia uhai inatosha atalipwa kwa njia yake. Wapo wataokula iyo tigo sio mimi
Kabisa mkuu!
Usimfanyie chochote kibaya! Mpotezee!
 
True niko kwenye mission na mtoto mwingine msupa tu ndio nataka kumalizia machungu uko kwa sasa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hili ni tatizo!
Usije kukutana na mtu anaekupenda kweli halafu wewe ukawa unalipiza kisasi!
Mbay sana!

Ukitoka kwenye maumivu ni bora kujipa muda kwanza kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine!
Though tumetofautiana Ku - hundle issues
 
Umeanza ufeminist na wewe mchezo wenu ni hatari toka kipindi cha samson, aliniwai tu a step ahead but doesn't make her a winner cause bado maisha yanaendelea.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23],hapana!
Ni vile mtu hana kitu na mpo kwenye relationship huwezi acha kumsaidia ni kawaida tu mbona!
 
Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Kosa lako ni pale ambapo ukiruhusu mapenzi ya upande mmoja! Yaani yeye hajishughulishi kuhakikisha mapenzi yenu yako imara, shughuli yote unafanya wewe! Kaa mbali kidogo, ili aone kama anakuhitaji au lah!
 

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kile kiapo cha damu hiki hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari sana kiukweli sitaweza kusamehe sio kwa sasa labda mbeleni, sijawai lipiza kisasi lakini kwa ili nitalipiza ni haki yangu na Mungu nishaidi siweza kuwa na subra ya malipo ya dunia. Nimesamehe mengi na mazito kutoka kwake matusi, zarau, uongo na kujishusha utu wangu sana..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Fanya kile ambacho kitaipa nafsi yako amani
 
Haya ya kwako ni madogo ya kwangu ni makubwa sana ukimpta mganga mzuri anayejua kuroga na kuua nishtue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…