Shekh kupenda sio poa, utafikiri sina ndugu wenye shida au na hela nyingi kiivo basi tu nilijiekea matumaini makubwa kwake na vile aniaminisha yeye mtu wa dini nikajua hofu iko kumbe bora ningenwapa mtaji ndugu zanguWenzangu pesa mingi hivyo ya kuhonga mnaitoaga wapi!? Ndugu zangu nyie pesa mnazipatia wapiii! Halafu hii nguvu ya kuhonga singo maza kiasi hiko na alomzalisha unajua yupo na wana mawasiliano uliitoa wapi!?
[emoji848][emoji848][emoji848]Sio kwamba hauna pesa?
Kama unapitia kipindi kama alichopitia huyo jamaa...Napitia kipindi kama chako mkuu japo mi sijahonga 10M kwa sababu huo uwezo sina.
Count your losses bro. Huoni kama amekupunguzia majukumu ambayo kimsingi hayakua yako. Nachokushauri jitahidi umakini wako kazini/biashara usitetereke. Pambana kurudisha taratibu kiasi ulichopoteza.
Najua ni ngumu kwa sababu na mimi napitia lakini kila leo ni bora zaidi ya juzi. Itachukua muda lakini utakua sawa.
Watu wengi wanaumia kwenye mapenzi wakifikiri gharama na muda waliojinvest kwenye mahusiano mabovuBrother i have tried lakini the fact nikifikiria nimetumika all this time linanipa hasira kali sana.
sure, ukitaka kubamba hapo utazidi umia kichwa au ukfny jambo la ajabu uambulie matatizoKama unapitia kipindi kama alichopitia huyo jamaa...
Mkuu Solution hapo ni kupiga chini na ku Move On... full stop
Big up bro !!! Uyokinachomuuma ni io million 10 hahahaaaaa dah mm hakuna kitu naogopa km kuhonga yaan naogopa balaa mwisho 10000 kuhonga mambo ya cjui niaxime laki 4 hapana kwa kwelMimi nikikwazwa hua naachia ngazi kimya kimya halafu yeye ndio aanze kuhangaika na maswali ya kinafiki “ eti mbona sikuelewi etc”
Napotezea mazima. Hii njia nimeibuni baada ya kupitia mashida kama yako. Cha msingi ni kuwa kuhonga ni kwa kiwango kidogo sana kwa ajili ya kusogeza maisha tu, ili hata mambo yakivunjika maumivu yasiwe makubwa
Kosa lako ni kuwa relationship focused mkuu..Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Pita na jamii yake ya karibu dada, marafiki, wadogo zake wanyooshe kwelikweli(jump ze wall) alafu uchimbeHabari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Mara nyingi inakuwa ni ngumu kumfanya akupende tena kutoka moyoni..sure, ukitaka kubamba hapo utazidi umia kichwa au ukfny jambo la ajabu uambulie matatizo
hilo ndio tatizo, mtu anakublock anakudanganya unagundua lkn bado umo tu sa sijui unakua unategemea mwsho wa aina gan, kaaz kwelikweliNasikitika kukwambia hata tuki kushauri utaendelea kua mnyonge wa mapenzi tu.Hauta sikia wala kukoma uta tamani kufanya kitu/jambo ila hauta weza uta baki kutamani tu
Usha ona ayo yote lakini bado humo tuuu
Ni kweli mkuu, huwezi kutumia pesa kumfanya mwanamke akupende kwa DHATI.dah pole mkuu! ila si wanaume tuna shida moja utakuta unaona kabisa hali halisi demu hana penzi la dhati ila kwakuwa una visenti na uonaona demu ana uhitaji mkubwa wa visenti basi unajaribu kutake advantage ya hivyo visenti vyako kuforce demu akuelewe hapa ndipo tunapokuja kuambulia maumivu mbeleni, mi nakushauri achananae km hasara ya pesa,muda pamoja na maumivu umeshapaya, move on mkuu
We unafikiri tunavyowalaga asubuhi hata majina hatuulizi sisi ni wajinga?