Natafakari nini cha kumfanya...


Duh jamani mbona sina hii bahati nakosea wapi
 
Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Simply ulipenda usipopendwa na achana nae huyo mwanamke uendelee na maisha yako. Huwezi kulipiza kisasi mwisho wake utaishia jela au kuumizwa zaidi. Tafuta demu mwingine halafu jifunze kupenda kwa kiasi sio unajiingiza mzima mzima kimwili na kiakili utakuja kufa kwa presha
 
Hivi inakuaje kama una umri zaidi ya miaka 35 uzame kabisa kwenye mapenzi? Yan kipya nini anacho huyo mwanamke?
 
Samahani ndugu yangu, kifupi niseme wewe ni matako, sasa mtu sio mke wako unaanzaje kumhonga mpaka inafikia m 10? unaanzaje yaani?halafu kwa nini haupo realistic? unajaribu kuishi maisha ambayo ni beyond na kipato chako, why? nikisema wewe ni kumamae nimekukosea? hivi milioni kumi ungebetia nusu fainali ya Bayern na Psg ukamuu Bayern next week si unatoboa life asee? kiazi mviringo wewe, mamamae
 
Pole sana kiongozi, nyakati zimebadilika hutakiwa kuwaamini watu kirahic na nyongeza wadada wengi ambao ni single mother wana historia ambazo sio nzuri na hivyo wao hawawaamini wanaume kirahisi inachukua muda na wengine wapo kwa ajili ya mechi na kipato maisha yaende mambo ya kubebika tupa kule.
Mpotezee utapata ubavu wako upo sehemu fulani.
 
Shkran sana chief aisee hawa watu sema ni special specie alafu ana act kama hamna kitu kibaya alichofanya na kupost anapost kabsa social media.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]shekh matusi ya nini yote hayo mbona kuna wanaoonga mpaka nyumba issue sio kuonga issue ni muhusika amelipokeaje mbona kuna wengine wanashukrani sana
 
Mkuu

Hilo tukio fanya Kama fundisho moja wapo ktk maisha yako, hakuna haja ya kulipiza kisasi wala kung'ang'ania mkaa wa moto kukumbatia wakati unajua unaendelea kukuunguza kisa unaupenda, solution ni kuuachia uanguke chini ili usiendelee kukuunguza/ kukuumiza.

Baharini samaki wapo kibao mkuu, mpende mtu ila usimuamini kiasi cha kumkabidhi maisha yako yote.
 
Pole bro.Ni ulimbukeni uliokuponza bro.sema siku zote mawashaurigi tafuteni wake muoe.achen hiz "disposable relationship".alijua wewe utakuja kumshitukia tabia yake mbaya utampiga chini kwa hiyo ali ku-fast track kabla huja stuka.Ogopa sana Mwanamke anaye jificha kanisani,hao ni hatari zaidi kuliko hao dada zetu poa.Halafu wa Kilimanjaro wanauwezo wa kukupumbaza sana.unakuja kustika too late.

Lkn kwako bado haijawa too late.acha kufikiri kulipa kisasi chochote.Muombe Mungu akusaidie umpate wa kukufaa.maana inaweza pelekea usimuamini mwanamke yoyote tena kwa ulichofanyiwa
 
Kwanza lazima ujue hiyo ni hulka ya baadhi ya wanawake au binti,kukaa au kuishi na mtu hata kama hampendi et kwa kuwa anamtimizia mashida yake.

Umejua mapema hakukupenda na hilo ndilo la muhimu zaidi,maana ungeoa haya maswali unayojiuliza yangekuua kabisa.
Cha msingi endelea mbele hakuna jibu utapata juu ya maswali yako, maana hata mwenyewe hajui sababu. Ila ujue tu hakukupenda basi.
 
Vijana mmepatwa na nn? Mbona mmekuwa walaini sana?

Hivi nchi ikiingia vitani tuna vijana kweli wale wa kupewa bunduki ukafundishwa shabaha wiki moja kisha ukakabidhiwa bunduki na kisu tayari kwa kuipigania nchi yako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hayo ndio malipo ya ujentromeni na u nice guy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Oya jentromen achana nae huyo mwanamke na wewe mpotezee usijihushe na chochote kile futa kila kitu hata Kama Kuna biashara mpo pamoja ifilisi badili nyingine ....vitanda vyote ulivyo tumia kumpakulia uza au gawa .....paka rangi chumbani nunua furniture mpya ....yaaani uwe mpya


Najua atajirudi kwa Kasi ya 4g sasa fanya usenge Tena sawa nice guy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…