Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Habari za leo rafikii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rafiki nakusalimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za leo rafikii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rafiki nakusalimia
Nalo ni jambo jema kwangu kulifata.
Safii...
Unatakiwa uwe katilii,ukishayaona maungo yake unabadilika kabisa
hahahaha sio lazima mdogo wake hata yeye ruka nae tu kwani sh ngapiiiiKama una mdogo ako au kaka namuomba mkuu inaonekana nyie ni watoaji
10M in 6 months ni nyingi kwa mtu ambae sio mkeo
Brother 10M+ sio masihara kwa week nilikuwa na tuma 50k at least mara 4 au 3 bado plus ada, vitu vyakula ndani, mtaji,furnitures plus vingi na vingi but in all yani vyote ivo hajaviona yani kweli wanawake ni watu wa ajabu sana kuna mda nilimkodishia gari miezi mitatu nalipa, siku anashida ya hela ya kula nilibidi niweke bond simu kwa masaa machache ili nitume hela ya kununua vitu leo unaniambia nisimfanye kitu kweli?
ukijifanya gentleman ndio mnatupanda kichwanii sasa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh hatarii usifundishe watu roho mbaya bana
Simply ulipenda usipopendwa na achana nae huyo mwanamke uendelee na maisha yako. Huwezi kulipiza kisasi mwisho wake utaishia jela au kuumizwa zaidi. Tafuta demu mwingine halafu jifunze kupenda kwa kiasi sio unajiingiza mzima mzima kimwili na kiakili utakuja kufa kwa preshaNakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
hahahaha sio lazima mdogo wake hata yeye ruka nae tu kwani sh ngapiiii
ukijifanya gentleman ndio mnatupanda kichwanii sasa....
Hivi inakuaje kama una umri zaidi ya miaka 35 uzame kabisa kwenye mapenzi? Yan kipya nini anacho huyo mwanamke?Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Pole sana kiongozi, nyakati zimebadilika hutakiwa kuwaamini watu kirahic na nyongeza wadada wengi ambao ni single mother wana historia ambazo sio nzuri na hivyo wao hawawaamini wanaume kirahisi inachukua muda na wengine wapo kwa ajili ya mechi na kipato maisha yaende mambo ya kubebika tupa kule.Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Shkran sana chief aisee hawa watu sema ni special specie alafu ana act kama hamna kitu kibaya alichofanya na kupost anapost kabsa social media.Pole sana kiongozi, nyakati zimebadilika hutakiwa kuwaamini watu kirahic na nyongeza wadada wengi ambao ni single mother wana historia ambazo sio nzuri na hivyo wao hawawaamini wanaume kirahisi inachukua muda na wengine wapo kwa ajili ya mechi na kipato maisha yaende mambo ya kubebika tupa kule.
Mpotezee utapata ubavu wako upo sehemu fulani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]shekh matusi ya nini yote hayo mbona kuna wanaoonga mpaka nyumba issue sio kuonga issue ni muhusika amelipokeaje mbona kuna wengine wanashukrani sanaSamahani ndugu yangu, kifupi niseme wewe ni matako, sasa mtu sio mke wako unaanzaje kumhonga mpaka inafikia m 10? unaanzaje yaani?halafu kwa nini haupo realistic? unajaribu kuishi maisha ambayo ni beyond na kipato chako, why? nikisema wewe ni kumamae nimekukosea? hivi milioni kumi ungebetia nusu fainali ya Bayern na Psg ukamuu Bayern next week si unatoboa life asee? kiazi mviringo wewe, mamamae
MkuuHabari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Pole bro.Ni ulimbukeni uliokuponza bro.sema siku zote mawashaurigi tafuteni wake muoe.achen hiz "disposable relationship".alijua wewe utakuja kumshitukia tabia yake mbaya utampiga chini kwa hiyo ali ku-fast track kabla huja stuka.Ogopa sana Mwanamke anaye jificha kanisani,hao ni hatari zaidi kuliko hao dada zetu poa.Halafu wa Kilimanjaro wanauwezo wa kukupumbaza sana.unakuja kustika too late.Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana mmepatwa na nn? Mbona mmekuwa walaini sana?
Hivi nchi ikiingia vitani tuna vijana kweli wale wa kupewa bunduki ukafundishwa shabaha wiki moja kisha ukakabidhiwa bunduki na kisu tayari kwa kuipigania nchi yako?