Natafakari nini cha kumfanya...

Natafakari nini cha kumfanya...

10m? Okay..ulimgegeda how many times kwa kukisia mkuu?,na alikuwa anakupa kwa moyo wote?
 
Ushauri piga chini na utafute mwingine for the time being kuwa busy na mambo yasiyo mhusu kama job, hobby, biashara na task tofauti tofauti. Ukizidiwa bora ununue na utumie kinga kuliko kukaa na hilo bomu linalosubiri kulipuka.
 
Nadhani hata baadhi ya wanawake wakiwa wanapewa hela ovyo kama ulivyokuwa una hudumia wewe basi lazima wamuone mwanaume ni mshamba mshamba..unalipa hadi ada ya mtoto wa mwanaume mwenzio na bado unakula block za kutosha,like serious?..Huyu demu alikuona mjinga sana mkuu.

Tuhudumie kwa machale..
 
Vijana mmepatwa na nn? Mbona mmekuwa walaini sana?

Hivi nchi ikiingia vitani tuna vijana kweli wale wa kupewa bunduki ukafundishwa shabaha wiki moja kisha ukakabidhiwa bunduki na kisu tayari kwa kuipigania nchi yako?
 
Kubaliana na matokeo mkuu...
Huyo siyo wako tena hunabudi kusonga mbele.

Kuna siku utapata wa kukupenda, huyo hakukupenda, alikutumia kama nyenzo tu ya kupata mahitaji yake.
 
Kinacho fanya mpaka muda huu niwe sijawahi kuumizwa kimapenzi Ni kwa sababu huwa situmii pesa zaidi ya elfu kumi kuhonga.

Bro 10M ndani ya miezi 6 kwa Hawa Hawa mademu wa Kibongo!!?

Mtakuja kufa kizembe.
 
Back
Top Bottom