Natafakari nini cha kumfanya...

Natafakari nini cha kumfanya...

Pole bhanaa huu Uzi ndio uwe faraja yako.Baada ya muda utakuj hapa utabaki kucheka
alikua anakupa ndogo Kakaa [emoji23][emoji23]
Uwekezaji mkubwa kwa mda mfup imekuaje kuaje ?
Situmie shekh inafika mda najiuliza ata mimi imekuwaje nimeingia mkenge ivo yani ata sielewi
 
Achana nae na huna sababu ya kutafuta kosa lako huyo hukuwa chaguo lake bali ulikuwa sponsor tuu ila kuna anaemuelewa yeye na sio wewe achana nae kbx Na mwenyez mungu atakupa wa kufanana na wewe na utafurahia mapenz
 
Inshallah leo ndio mwisho nimepata maoni ya kunipa moyo yakuendelea na maisha yangu lakn kabla ya sijakata wire nataka kuporomosha msg ya kumuonyesha alichofanya sio ungwana na nimeamua kuchukua time yangu
 
Tatizo hisia zinawaendesha we dadili ushaanza kuziona ila ulijitoa ufahamu,ulibeba majukumu ya mme wakati hujamuo,mtu mwenyewe single mama,m naona ukome acheni kukurupuka muwege mnachunguzana ikiwa mtu unataka awe mke wako serious
 
Brother i have tried lakini the fact nikifikiria nimetumika all this time linanipa hasira kali sana.
Nadhani hilo likawe funza na sasa songa mbele ukitafta sababu hutoipata utaishia kuumia bure
 
Tatizo hisia zinawaendesha we dadili ushaanza kuziona ila ulijitoa ufahamu,ulibeba majukumu ya mme wakati hujamuo,mtu mwenyewe single mama,m naona ukome acheni kukurupuka muwege mnachunguzana ikiwa mtu unataka awe mke wako serious
Shekh nilipangwa sijawai ona sio kwamba mimi Mgeni kwenye hii sekta na nimekuwa nikipita nao sana tu this time nimezidiwa maarifa tu kweli nimeamini wanawake wanaweza nao.
 
Sidhani kwa mwanamke muelewa
makosa ni yako na ukikua utaacha
tulishakubaliana humu hakuna kuona Single Mother huwa wanarudi wa waliowazalisha hata kuchagua wanaume tofauti tofauti wasio na vibamia yaani hawaridhiki kila mtalimbo wataupima kwani aliyemuanza wewe humjui.
kiufupi huyo mchagga au mpare wa Milimani hakufai maana si muelewa
 
Spoke as a true soljar nakubaliana na wewe kabisa 100 %. Sikuwai kusikia ili la single mothers lakini kiukweli wapo wengi mtaani sana sema huyu alikuwa bomu la nuclear kila simu ni tatizo la hela au msg ya kwanza salamu ya pili swala la hela.Najilaumu sana maza ashamuona akasema hamna kitu hapa yuko kimasilahi sana nikamuone yeye ndio anazeeka vbaya. These are good lessons and experiences in life cha msingi uzima tu, nishawai chukua mkopo nikiacha gari sehemu kumpa mtaji aisee kweli kama dawa ilikuwa ni kali sana.
 
Wenzangu pesa mingi hivyo ya kuhonga mnaitoaga wapi!? Ndugu zangu nyie pesa mnazipatia wapiii! Halafu hii nguvu ya kuhonga singo maza kiasi hiko na alomzalisha unajua yupo na wana mawasiliano uliitoa wapi!?
 
Spoke as a true soljar nakubaliana na wewe kabisa 100 %. Sikuwai kusikia ili la single mothers lakini kiukweli wapo wengi mtaani sana sema huyu alikuwa bomu la nuclear kila simu ni tatizo la hela au msg ya kwanza salamu ya pili swala la hela.Najilaumu sana maza ashamuona akasema hamna kitu hapa yuko kimasilahi sana nikamuone yeye ndio anazeeka vbaya. These are good lessons and experiences in life cha msingi uzima tu, nishawai chukua mkopo nikiacha gari sehemu kumpa mtaji aisee kweli kama dawa ilikuwa ni kali sana.
najua inauma sanaa, jipe moyo hata sisi tulipitia huko, hebu jaribu kumsamehe na kumsahau tafuta Mwanamke mwingine (najua kwa sasa hakuna binadamu mrembo kuliko yeye)
Fanya hivi tafuta mahali penye michezo kashiriki, au kwenye mkusanyiko km si mnywaji tafuta mahali jinywee maziwa fresh au soda, maana kinachokuuma ni kwanini kachukuliwa na mwanamume mwenzako? huyo atarudi tu ila usimpokee na wewe kata mawasiliano kabisa hata akirudi achana naye huyo aliyenae hawezi lipia ada au mtaji.
 
Unampendaje mwanamke?
Mpende sasa mle then SEPAAAAA

Nilikoseaga mara MOJA tu (2015) sitokuwa nikosee Tena.

#YNWA
Nilikosea 2012 kmmk ambapo tar 25/7/2012 majira ya saa tano kasoro hivi natumiwa meseji naulizwa mbona siku hizi sikuelewi!? Haina hata salamu hiyo kmmmk, sijakaa sawa nikatextiwa tena, bana ee mi naona bora tuachane tu, nikasema whaat!? Akanijibu ndio hivyo na ninamaanisha.

Sikuwa na kazi ilikuwa napiga vimishe vyangu tu napata sh 2,3 namtumia robo tatu yote ya pesa nlokuwa naipata kumbe kuna mjuba huko jirani ya chuo chao anatembeza mpunga wa kutosha. Mbwa mimi nilitesekaaaa, nilihangaikaaa! Sikudata kipindi kile, sitokaa nidate maishaa.

Hom tulikuwa tunapitia kipindi kigumu hakuna mfano plus machungu hayo nikasema, iko siku muda utanipa nafuu. Nilishainuka na kuondoka, spidi niliyonayo sasa hivi kwa hawa watu kmmmk, wanaelewa wao tu ninaopita nao. Sijuagi kama nitakuja kuoa.
 
najua inauma sanaa, jipe moyo hata sisi tulipitia huko, hebu jaribu kumsamehe na kumsahau tafuta Mwanamke mwingine (najua kwa sasa hakuna binadamu mrembo kuliko yeye)
Fanya hivi tafuta mahali penye michezo kashiriki, au kwenye mkusanyiko km si mnywaji tafuta mahali jinywee maziwa fresh au soda, maana kinachokuuma ni kwanini kachukuliwa na mwanamume mwenzako? huyo atarudi tu ila usimpokee na wewe kata mawasiliano kabisa hata akirudi achana naye huyo aliyenae hawezi lipia ada au mtaji.
Shekh story ni ndefu sana yani acha tu kama maumivu nimeyapitia kwa ukali sana nilishatoa hela nusu ya kununua gari likanishinda nikabidi nirudishiwe hela nusu yote sababu ya pressure za kutaka gari mambo mengi lakini kama unavosema niangalie utaratibu wa kumove on hapa nilipo anategemea hela ya mtaji this time roho imegoma kabsa,watu wanaonijua wananiuliza mbona umepungua ivo au unaumwa maana nimda mfupi nimepungua sana lakn siwezi msimulia mtu.
 
Nilikosea 2012 kmmk ambapo tar 25/7/2012 majira ya saa tano kasoro hivi natumiwa meseji naulizwa mbona siku hizi sikuelewi!? Haina hata salamu hiyo kmmmk, sijakaa sawa nikatextiwa tena, bana ee mi naona bora tuachane tu, nikasema whaat!? Akanijibu ndio hivyo na ninamaanisha.

Sikuwa na kazi ilikuwa napiga vimishe vyangu tu napata sh 2,3 namtumia robo tatu yote ya pesa nlokuwa naipata kumbe kuna mjuba huko jirani ya chuo chao anatembeza mpunga wa kutosha. Mbwa mimi nilitesekaaaa, nilihangaikaaa! Sikudata kipindi kile, sitokaa nidate maishaa.

Hom tulikuwa tunapitia kipindi kigumu hakuna mfano plus machungu hayo nikasema, iko siku muda utanipa nafuu. Nilishainuka na kuondoka, spidi niliyonayo sasa hivi kwa hawa watu kmmmk, wanaelewa wao tu ninaopita nao. Sijuagi kama nitakuja kuoa.
Pole sana kaka Afadhali wewe alikupa taarifa huyu namuuliza aisee kuna shida gani niambie kama vp niangalie utaratibu wangu anaweza kubadilisha mada ghafla na kulia yani full drama queen
 
Back
Top Bottom