Natafakari nini cha kumfanya...

Natafakari nini cha kumfanya...

Hayo ndio malipo ya ujentromeni na u nice guy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Oya jentromen achana nae huyo mwanamke na wewe mpotezee usijihushe na chochote kile futa kila kitu hata Kama Kuna biashara mpo pamoja ifilisi badili nyingine ....vitanda vyote ulivyo tumia kumpakulia uza au gawa .....paka rangi chumbani nunua furniture mpya ....yaaani uwe mpya

Najua atajirudi kwa Kasi ya 4g sasa fanya usenge Tena sawa nice guy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia jana kaja kunitafuta,home night kali sijajua anachotaka nimemwambia very clear siko interested na hii michezo ya paka na panya aendelee na maishe yake.
 
Pole bro.Ni ulimbukeni uliokuponza bro.sema siku zote mawashaurigi tafuteni wake muoe.achen hiz "disposable relationship".alijua wewe utakuja kumshitukia tabia yake mbaya utampiga chini kwa hiyo ali ku-fast track kabla huja stuka.Ogopa sana Mwanamke anaye jificha kanisani,hao ni hatari zaidi kuliko hao dada zetu poa.Halafu wa Kilimanjaro wanauwezo wa kukupumbaza sana.unakuja kustika too late.

Lkn kwako bado haijawa too late.acha kufikiri kulipa kisasi chochote.Muombe Mungu akusaidie umpate wa kukufaa.maana inaweza pelekea usimuamini mwanamke yoyote tena kwa ulichofanyiwa
Shekh kwenye kutafuta ndio ajari zenyewe hizi, sasa ningejuaje kama kwa kila tendo kwake mtu hakosi sababu nikisema ni manipulate mzuri namaanisha toka nimekuwa kwenye game sijawai kutana na hii specie
 
Kilicho niaminisha zaidi ni baada ya kupelekwa nyumbani nikakutana na mzazi mmoja wapo nikaona nimeshatake ova inawezekana ata huyo mzee alikuwa part ya game maana kuna codes flani mda mwingine zilikuwa zinatumika sio poa kabsa.
Sikia kama anakutafuta
Mle tigo afu umteme

Ila wewe nakuona ni mdhaifu huwezi
 
Sikia kama anakutafuta
Mle tigo afu umteme

Ila wewe nakuona ni mdhaifu huwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dhuu!! Wazo zuri sema hamna haja ya yote hayo, kama kaniachia uhai inatosha atalipwa kwa njia yake. Wapo wataokula iyo tigo sio mimi
 
kuwa mpole mkuu,tunajifunza kutokana na makosa mkuu sitisha huduma,muache kimyakimya ,endelea na maisha yako.ipo siku atakukumbuka kwa mazur uliyomfanyia,kipind hicho wew utakuwa huna muda naye,atajuta trust me
 
Sure thing kaka, atayakumbuka kama ni ufala kwake au msaada ipo siku ataukumbuka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]shekh matusi ya nini yote hayo mbona kuna wanaoonga mpaka nyumba issue sio kuonga issue ni muhusika amelipokeaje mbona kuna wengine wanashukrani sana
Bro tuanzie hapa, umehongaje milioni 12 bro, maini yanatikisika kwa taharuki hapa,hahahha
 
Aliona anakuchuna tu sasa kawaza itakuaje akila vitu vyako vingi alafu akutose kaona sio vyema bora akuache kwa njia hiyo ,tulia vuta punzi shusha huku ukisema kila kitu kinapita tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
mambo ya kusitikisha sana, kumbe bado kuna vijana wanateseka na mapenzi hivi.
 
Bro tuanzie hapa, umehongaje milioni 12 bro, maini yanatikisika kwa taharuki hapa,hahahha
Its not about the man kaka, ni mda kupotezewa na kufanywa mjinga ndio kinachoniuma zaidi plus kujua kosa liko wapi maana nimefanya yale yote mwanaume anatakiwa kufanya. Hela tutatafuta tu si ziko mtaani nimejinyima ili niweze kumuwezesha yeye
 
Sasa brother, with all senses you posses, ulishindwa vipi kung'amua kwamba hupendwi?
 
Si tulikubaliana viwanja vyenye mgogoro msivinunue?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikulijua kama vinamgogoro kwa maelezo yake mwenyewe natuma adi hela ya vocha, kilichoniponza ni roho ya huruma zaidi nadhani kuona ni single mother na kwa maelezo yake wamezinguana na baba watoto wake vibaya mno so nikaona sio kosa kuwa msaada
 
Sasa brother, with all senses you posses, ulishindwa vipi kung'amua kwamba hupendwi?
Kwa ilo sikuwa na uhakika nalo sana kutokana tukikutana alikuwa anaongelea mengi ya future plans na nimeshaliuliza ilo nikajibiwa mpz yapo lakini kama wanavosema moyo wa mtu hauwezi semea, i had a feeling yataweza tokea sipendwi lakini kutokana na niliyoyafanya nikajua yatambadilisha moyo na mawazo lakini tamaa nadhani zimezidi
 
Aliona anakuchuna tu sasa kawaza itakuaje akila vitu vyako vingi alafu akutose kaona sio vyema bora akuache kwa njia hiyo ,tulia vuta punzi shusha huku ukisema kila kitu kinapita tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Inawezekana pia shekh au inawezekana hakuona vitu alivokuwa anataka kwangu maana at 1st mambo yalikuwa tafauti sana, au kuna jamaa kaingiq kati kati kamvutia upande wake
 
Kwa ilo sikuwa na uhakika nalo sana kutokana tukikutana alikuwa anaongelea mengi ya future plans na nimeshaliuliza ilo nikajibiwa mpz yapo lakini kama wanavosema moyo wa mtu hauwezi semea, i had a feeling yataweza tokea sipendwi lakini kutokana na niliyoyafanya nikajua yatambadilisha moyo na mawazo lakini tamaa nadhani zimezidi
Tuseme nini basi juu ya mambo haya, binafsi nikupe pole tuu ndugu yangu
 
Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Wanawake ni wauaji, usidhindane na hilo tundu mkuu, achana naye
 
Samahani ndugu yangu, kifupi niseme wewe ni matako, sasa mtu sio mke wako unaanzaje kumhonga mpaka inafikia m 10? unaanzaje yaani?halafu kwa nini haupo realistic? unajaribu kuishi maisha ambayo ni beyond na kipato chako, why? nikisema wewe ni kumamae nimekukosea? hivi milioni kumi ungebetia nusu fainali ya Bayern na Psg ukamuu Bayern next week si unatoboa life asee? kiazi mviringo wewe, mamamae
Babu Hasiraa za nini za matumizi ya pesa isiyokuhusu??
 
Back
Top Bottom