Natafata mume, mwenye sifa hizi

Yaani kwamba sadakalawe ili mradi awe anapumua tu😎
 
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
niko hapa mrembo au nimechelewa?
 
H
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
ongera sana ungeeka naapicha ibgependeza huyu ni mkurya experience huwa ni wanawake bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…