Natafata mume, mwenye sifa hizi

Natafata mume, mwenye sifa hizi

Ahya Maskin, walevi na Wazinzi type yenu hii hapa.
 
Kila nikiangalia muandiko wako naona wewe ndo mwanamke wa ndoto zangu
 
Nipo hapa mama Njoo inbox tufahamiane seriously 🙏🏿
 
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
Sifa zote ninazo, nimekosa sifa moja tu, ya kumpenda Mungu.

Mimi nawapenda binadamu wenzangu tu.
 
Back
Top Bottom